Nimekosa nini mke wangu!?

Nimekosa nini mke wangu!?

Ni ngumu kuwasemea watu lakini wakati mwingine unaweza ukakuta mwanadada anataka kulipiza kisasi kutokana na aliyotendewa na wanaume wengine

pia yawezekana wakati anachukuliwa na huyu mwanaume yeye alikubali ili apate comfort and shelter kwa kipindi kile tu ila ndani yake hakuwa na upendo hata chembe ndani yake

wanawake huwa tunasifika kwa tabia ya huruma sana lakini mwanamke ni kiumbe hatari kupita maelezo hasa pale anapokuwa alitendwa mara kadhaa..huu ni mtizamo wangu binafsi

Rich woman
Thanks Thanks nimekuelewa vema.
Upendo ungekuwa unauzwa unabaki bila chochote,,ningeuuza nikaondoka bila kusubiri chenji nikawa huru.
Maana kwa jamaa alivyoumia hadi inanitia hasira
 
Last edited by a moderator:
"Gravitation force is not responsible for the people falling in love"
 
"Gravitation force is not responsible for the people falling in love"

watu8,,mm! Kama bila gravitation force tusingekuwa na balance ya kutembea basi nayo inachangia watu kutetea upendo wao!
 
Last edited by a moderator:
Maana ya hayo maneno ni kuwa once you start falling in love there won't be nothing(sort of external force or circumstance) holding back....kwa mantiki hiyo basi mioyo yetu ipo katika risk ya kuumia maana hakuna kizuiacho kuanguka...

afadhali umedadavua huu ujumbe wako maana hapo awali sikuelewa ulichomaanisha
 
Kwa waliosoma Physics watakuwa wameelewa kwa haraka mno...ila ashukuruwe alieniquote hapo juu na kunipelekea kufafanua, nilikua naona uvivu!!

afadhali umedadavua huu ujumbe wako maana hapo awali sikuelewa ulichomaanisha
 
promiseme,,ntamfikishia ila kama alijua anampenda wa zamani mbona anamuumiza huyu..life
Wallah naelewa imesha nitokea lakini kila likuepukalo lina kheir na wewe,najua sio rahisi kukubali matokeo lakini ajitahidi na mungu atamsaidia na huyo mwanamke atajuta mwisho wake............
 
Mh ila kazi ipo, mbona mtu akiwa anaishi kwa upendo na mkewe/mumewe huwa hakuna thread za kulipongeza hilo au kuliongelea labda?

Maana unaweza kulichukulia poa kuona kama mtu katimiza wajibu wake kumbe ni kitu nadra sana!

Nimeona thread nyingi za mapenzi na ndoa humu ni ful malalamiko!!
 
[

Nawapenda wanangu
Nakupenda mke wangu
Ulipoamua kuondoka ungeniachia wanangu
Au nao si wangu
Niambie kweli mke wangu!
Nimekosa nini kustahili hili mke wangu!!
=
NDIVYO ALIVYOWASIMULIA WAPANGAJI WENZAKE KWA MAJONZI,NI HAPA IGUNGA TABORA.[/QUOTE]

Mkuu mpe pole sana na umshauri afuate taratibu za kisheria akachukua watoto wake awalee wala asipime DNA wala nn atazidi kuumia ,watu wanaadopt watoto sembuse hao waliozaliwa kwenye mikono yake,mwambie hao watoto ndio faraja yake.
 
Hivi kwanini mtu ukiwa 'hutakiwi' kimapenzi unaumia!? Je, si rahisi tu kukubali hali halisi kwamba 'hutakiwi' maisha yakaendelea!? Unaumia weee...wengine wanajiua (pumbaff, miaka yote uliyoishi bila yeye mbona hukufa), wengine wanakonda kwisha kabisa, wengine wanalia usiku kuchwa, wengine wanakuwa walevi, wengine wanashindwa kula kabisaa... Ebo, unataka kila unayemtaka naye akutake!? We nani!? Kama hutakiwi 'chapa lapa'...katafute mbele ya safari huko! Hata kama ulishampata, ikitokea kwa sababu moja ama nyingine hakutaki tena..'chapa lapa'!
 
Kama hii ni true story basi jamaa katendwa kweli kweli, pole yake ila ajikaze kiume ndo maisha.

Purple
I wish ungekuwepo ili uamini kilichotokea.Nimebaki na maswali mengi kuliko majibu.ANYWAY MATESO YA MWANADAMU YALIANZA NA MWANAMKE IF holy scriptures are are right
 
Last edited by a moderator:
Aise huyu mwanamke hana shukrani kabisa. Mume alikutosa na mtoto mchanga kwa mateso halafu unampata wa kukufariji tena anakutunza na kukufungulia biashara halafu unamrudia!!! Kweli wanawake nyie ni vinyonga kabisa!!! For sure nikimuacha mtu namuacha jumla, never go back to matapishi hata aje akiwa anatambaa.
 
aise huyu mwanamke hana shukrani kabisa. Mume alikutosa na mtoto mchanga kwa mateso halafu unampata wa kukufariji tena anakutunza na kukufungulia biashara halafu unamrudia!!! Kweli wanawake nyie ni vinyonga kabisa!!! For sure nikimuacha mtu namuacha jumla, never go back to matapishi hata aje akiwa anatambaa.

umeonaa ee,,inauma
 
Hivi kwanini mtu ukiwa 'hutakiwi' kimapenzi unaumia!? Je, si rahisi tu kukubali hali halisi kwamba 'hutakiwi' maisha yakaendelea!? Unaumia weee...wengine wanajiua (pumbaff, miaka yote uliyoishi bila yeye mbona hukufa), wengine wanakonda kwisha kabisa, wengine wanalia usiku kuchwa, wengine wanakuwa walevi, wengine wanashindwa kula kabisaa... Ebo, unataka kila unayemtaka naye akutake!? We nani!? Kama hutakiwi 'chapa lapa'...katafute mbele ya safari huko! Hata kama ulishampata, ikitokea kwa sababu moja ama nyingine hakutaki tena..'chapa lapa'!

Hahaha...as simple as that! Asante dokta.
 
Pole kaka Angu kwa kweli najisikia huruma sana yaani its like a love story vumilia Mungu mwema atakutetea.ila wewe ni baba relax then nenda kawachukue wanao ni haki yako kuishi nawanao.
 
Back
Top Bottom