Nimekosa nini mke wangu!?

Nimekosa nini mke wangu!?

Senkyu Rich woman....nafikiria kuanza kufikiria kuoa ntakapokuwa 40 na hapo sitatafuta kitoto cha miaka 20 kaniongezee stress.
Cc: gfsonwin

ingekuwa ni hivyo basi sote tungesubiri tufike umri huo ili tuoe ama tuolewe. haya hayanaga kanuni ila investment is your brain
 
gfsonwin,lakini brain investment ya mtu kuwaza ndoa at 40,inasababishwa na matatizo kama haya yanayotukatisha tamaa
 
Last edited by a moderator:

Tetra inategemea wewe mwenye kutumia iyo brain unaitumiaje. siku zote ukiiwazisha akili yako negativity nayo itakupeleka huk huko na hutaona positivi hata siku moja.

ogopa sana kuish kwa mtazamo hasi, ukiona eti maisha hadi 40 ndo nitapata wa kufaa basi akili itakuelekeza huko huko sasa kwenye kupata wa kufaa ama wa kutofaa ndipo mtihan mwingine.

ninachoamini ni hiki hapa kwamba mm kama mwanamke ninaweza kuitengeneza ndoa yangu jinsi nitakavyo na hata kama nitahubiriwa vp na maisha ushuhuda wa kushindwa bado pia ninaweza kuushinda. nikifanyacho mm ni kujisubject kama chachu ya mabadiliko na kisha kutaka kubadilika.
 
Maneno yako mazuri..ila they are out of reality!!!!
 
acha ubinafsi , vijiti kupokezana, we mbona uliliea wa mwenzio,kuna shida gani ye kulea wanao, ukumbuke alikuaja kwako coz alitoswa na ampendaye na mlioana kwa huruma si mapenzi, huruma inaisha penzi lake halijaisha kwa ampendaye, mpishe akale vya kipenzi
 
Mm! Suprise,,kumbe kuna kubadilishana vijiti ktk mapenzi?
 
acha ubinafsi , vijiti kupokezana, we mbona uliliea wa mwenzio,kuna shida gani ye kulea wanao, ukumbuke alikuaja kwako coz alitoswa na ampendaye na mlioana kwa huruma si mapenzi, huruma inaisha penzi lake halijaisha kwa ampendaye, mpishe akale vya kipenzi

Siku yanakutokea....:glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom