ukimya unaumiza sana, maana mtu anaumia ndani kwa ndani na mwishowe anaweza kufa hivi hivi jmn. Bora ameexpress yaliyomkuta kwa wenzie bcoz angeumia zaidi huko ndani. Sometyms its hard to handle ur scandal as a human being. Mungu amsaidie aweze kulikabili hili.
Mh..aisee unaweza ukaamua kuishi peke yako bila hawa viumbe coz they can drive you crazy ukashindwa hata kufanya mambo yako ya maendeleo.Sorry to bro..
nilikwambiaje mdogo wangu?? usisikilize ushuhuda wa kushindwa utakurudisha nyuma sasa hapa unafanya nini??
nakupenda sana Mentor sipend mdogo wangu ushindwe maisha kwa mambo madogo kama haya. mbona mm dada yako nimedumu mwaka huu wa 12?? na hubby hajaandika hizo poem??
Kama imetokea kweli ndo nnapozidi kuwaogopa viumbe KE...hawajui kusema NO....aaaarrrgh.Mentor It not just a poem Imetokea kweli.
gfsonwin Kweli usemayo hata Zion Daughter alinifundisha kuwa generalisations is bad
Ndio maana nachukia kuwa na mahusiano na wanawake waliokwisha zaa na kuachika, huchelewi kuambiwa hata watoto sio wako. Jamaa apige moyo konde alee watoto wake coz hao ndio ambao hawatamkimbia na kumbuke mke si ndugu mkizinguana muache aende na only mungu ndio atajudge mkosaji.
haya mambo yanahitaji uangalifu lasivyo unaishia kuoa kisu na si mke....take your time
Asiwaze sana kunako hili kwani chaguo lake lipo atalipata tu.
Kapigwa na 'pawa ya festi lavu'
swali la kizushi,kuoa/kuolewa na first love wako ni nzuri kwa afya ya ndoa???
Rich woman..kwa nini kuna wanawake wa aina hii