Nimekosa msichana kisa ndevu

Mkuu mambo haya yalinifikirisha sana na yote hii ni wale waliochinja wenzao ndio waliosababisha, yaani yule mtoto mpaka leo hii roho inaniuma sana nikikumbuka lile shepu
ha ha ha

mkuu, hukychukua hata namba ya simu, huenda akakupa next chance ujitetee aiseee.
 
ha ha ha

mkuu, hukychukua hata namba ya simu, huenda akakupa next chance ujitetee aiseee.
Kijinamba ninacho ila hakifai kitu maana sipokelewi na hata nikitumia line nyingine ni bila bila, sasa kwa hasira haya madevu nitayaacha yaongezeke zaidi
 
Hahahaha Mkuu sio kukandia ila kwa hali hiyo ni hatariiii
Madevu namna hii nikiingia sehemu yeyote naonekana hili jitu sio la mchezo.....zina faida yake mkuu usiangalie upande mmoja
 
karibu JF
Akhsante mkuu japo mimi sio mgeni, ningekuja na Id yangu maarufu humu na kueleza mambo haya ingekuwa noma, maana mama yenu yupo humu humu hivyo ingekuwa mtafaruku
 
kweli nimezeeka hivi usawa huu bado huwa watu mnaviziaga wanawake kwenye giza khaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…