AyarerrrrooooNdugu zanguni nimekosa ajira tena!
Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi!
Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25!
Serikali kweli walikaa na kuamua kuajiri BAED 600 seriously! Yaani kwakundi kubwa lililopo Bora ningeenda hata msingi lakini niajiriwe.
Wewe bashungwa Kama uemhusika kwenye huu mchakato Mungu akusimamie katika magumu unayopitia.
Binafsi ninakinyongo sio kwasababu nimekosa hapana ila kwasababu nimekosa kisha akapata wa mwaka 2020 ambae nae ni Sanaa Kama Mimi.
Yaani hapa mpaka tumbo linanikata kwa maumivu lakini poa tu maisha ndio haya haya.
G.P.A 2.5 unaforce ufundishe secondary ?Ndugu zanguni nimekosa ajira tena!
Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi!
Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25!
Serikali kweli walikaa na kuamua kuajiri BAED 600 seriously! Yaani kwakundi kubwa lililopo Bora ningeenda hata msingi lakini niajiriwe.
Wewe bashungwa Kama uemhusika kwenye huu mchakato Mungu akusimamie katika magumu unayopitia.
Binafsi ninakinyongo sio kwasababu nimekosa hapana ila kwasababu nimekosa kisha akapata wa mwaka 2020 ambae nae ni Sanaa Kama Mimi.
Yaani hapa mpaka tumbo linanikata kwa maumivu lakini poa tu maisha ndio haya haya.
Inasemekana connection zilikua nyingi kila staff ana majina mfukoni hadi Ilibidi takukuru waingilie kati, nchi ngumu sana hiiDaa pole sana siku hizi bila konekesheni hutoboi
Ninashangaa waliomaliza 2021 wamechaguliwa.Ndugu zanguni nimekosa ajira tena!