Nimekoma

Nimekoma

utakuwa na matatizo siyo bure kati ya hao uliokutana nao eti hujaona type yako huenda na wao pia wewe siyo type yao...........ongeza bidii hamia huku mtandaoni toa namba yako pia
 
Apige namba hiyo ya sholi wangu wa Tandale kwa Tumbo na sound zake za kubana pua.

Anaweza kupiga sasa? Hapo alipo anajinyeanyea tuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kizazi cha Mulugo+facebook=Baraza linatangaza upya matokeo
 
Hapa hatuna mtu kabisa mtoa mada ni upepo aisee khaaa.
 
Hahaaaaaa......
Huyu kazoea redioni tu.
pole sana bola ulivokoma manake mtu kama wewe inabidi uende steers utapata type yako. Huko kwingine waachie wanaoweza.
 
hahahahaha hiki ni kituko kingine aiseh type yako itakuwa Juliana Shon.........nisije kula ban hapa.
 
Endelea kutafuta wa type yako physical..... utaishia kudate nao wala utapata mke.... mtu wa type yako for your life ni yule mnayeweza kunia mamoja kwa maendeleo yenu.... acha utoto jitahidi kukua
 
Effort is important,
but knowing where
to make an effort
in your life
makes all the difference.
 
Kaazi kwelikweli. Sasa hii ndio nini, i dont see the mantic. Unajisifu ni kiasi gani unausaka ukimwi? Pole, you will soon get what you are looking for na kisha kuwa model zaidi ya ulivyo sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom