Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,051
- 36,802
- Thread starter
-
- #101
Ni maumivu makali sana π ππβ€οΈβπ©Ήπ€£π Nimejikuta nacheka, kauli hii si ngeni,
Jaribu na wengine ubadili, unaweza bahatika ukapata ulimi π na mnyonyaji mzuri zaidi.
π€£π€£π€£π€£π€£ Mapenzi ni muhimu ila kwa target maalum.. Angalizo usipende mtu ukazama mazima bila kujuwa unapata faida Gani katika huo muungano mwisho wa siku maumivu yake ndio hayo ila Leo hii huwezi kukuta mke wa mchezaji wa yanga alieuzwa pyramid akilia kisa kuachwa coz tayri katika huko kuachwa anakuwa mnufaika number 1 hata akiwa analia machozi yanangukia kwenye uskani wa v8Nimepatikana aiseeh, mapenzi ni upumbavu tu πβ€οΈβπ©Ή, 2025 uwe mwaka wa mwisho wa mambo ya kupendana.
Kama ni lazima sana, basi tubaki na ngono tu kwa ajili ya kuzaliana ila mahusiano yasiwepo.
- Mapenzi ni ujinga
- Mapenzi ni mateso
- Mapenzi ni maumivu
- Mapenzi ni utapeli
- Mapenzi ni uhayawani
- Mapenzi ni ushen*i
- Mapenzi ni ufal*a
Mapenzi ni β¦β¦β¦β¦β¦ Endeleza lako
Sawa pona pona kwanza, nakuombea umbahatishe mwingine.Ni maumivu makali sana π ππ
Kubadili mpaka kumpata huyo mwenye ulimi na unyonyaji mzuri ndiyo changamoto.
Acha nitulie tu kwa sasa ni-heal β€οΈβπ©Ή
Au sio? [emoji23][emoji23][emoji23]Cku iz amna kugandana mtakuja kujiua ama kuua bure, m2 asipoelewek ck 2 ujue ndo ushaachwa ivo, usimgande tafuta mwingine.
Njoo Pm nikwambie kitu mchumba wanguKwa sasa siwezi kuenjoy π
I miss you cocasticMapenzi yametibua watu huko, yametindinganya mambo kwa Waja.
Polee mwayaa. Lol
I mic yu tuu,I miss you cocastic
Asante kwa somo, waione wanaotafuta tena mapenzi. Mimi nimekoma ππ€£π€£π€£π€£π€£ Mapenzi ni muhimu ila kwa target maalum.. Angalizo usipende mtu ukazama mazima bila kujuwa unapata faida Gani katika huo muungano mwisho wa siku maumivu yake ndio hayo ila Leo hii huwezi kukuta mke wa mchezaji wa yanga alieuzwa pyramid akilia kisa kuachwa coz tayri katika huko kuachwa anakuwa mnufaika number 1 hata akiwa analia machozi yanangukia kwenye uskani wa v8
Njoo Pm nikwambie kitu mchumba wangu
Asante, yamenivuruga sana ππ«Mapenzi yametibua watu huko, yametindinganya mambo kwa Waja.
Polee mwayaa. Lol
Asante sana πππ½Pole
Asante shetani, rasmi narudi kwenye uzinzi, mahusiano ni upumbavu.Pole sana
Cognitive dissonance
Nikiingiza tuu namwaga gundi ya kuziba hapoHilo dyudyu utalikata libakie hapo hapo au itakuwaje?
Mapenzi yamenivuruga πππUmepatwa na nini kipenzi π