NIMEKOMA kushobokea vi-offer mbuzi! (My Bad Friday Night)

Pole lol

Hongera kwa kuweza kuepuka aibu ya kuletwa hapa ukiwa umepigwa kapicha ukiwa na sharo mnaosha viombo na kumenya viazi kufidia bill.

Hahahaaaaaa! Acha kabisaaaa! Ila coz mi wa kitaa, ningeng'arisha kinoma misufuria, chezeya training ya mama lara 1!!!! Ila sharo mikono lainiii ange cry a river kwa wachina! LOL!
 
Hhayo ndio matatizo yanayo wapata wanawake wanao ongozwa na matumbo badala ya kutumia akili, mm huwa na waalika breakfast
 
hahah lol

umejitoa kiani hapo kama kawa uko vema
 
ok mkuu hapo nimekuelewa,

Ila Lara 1 kamfanya sharo konfo linshuke hadi ziro,
hata kuomba tena kale kamchezo ketu hawezi tena, hata akimpa bila kuomba anaweza asiweze kupafom,

namwonea huruma sharo wa watu

Umeonaaaaaa eeeeh! EGO approaching NEGATIVE!!!!! LOL! Namhurumia hata mie ujue, itakuwa pale outing alitamani ascresm PLEASE DADY HELP ME!!!!!!!! Afu na hivi mitoto ya kishua haijawahi pata zahama zahama nyingi, itakuwa anawaza THE WORLD WAS NOT FARE TO HIM!!!!!!!!!! Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Hhayo ndio matatizo yanayo wapata wanawake wanao ongozwa na matumbo badala ya kutumia akili, mm huwa na waalika breakfast

Hahahaaaaa! Labda pale mlimanicity na Quality Plaza kwenye BUFEEE ya 4500 sijui kama haijapanda ndo utatukomoa!!!! LOL! Ila ukitupeleka hoteli maumivu bila ganzi pale pale
 
Peopleeeeeeeeeessss! (Wakubwa zangu shikamooni)

Natumai wote wazima, na hakuna alieshikwa kwenye maandamano sababu wengi wenu wazee WAKUJIKAUSHA na kufatilia kwenye tv. (With the exception with fazaa, sijui kama umepona mpambanaji wa ukweli) Mie mzima nimetoka kwenye upambe nuksi wa uchaguzi wa Wanawake wa CCM huko (lazima nijikombe viti maalumu mchezo!!!) na mgombea wangu kashindwa, anyway sio mwisho wa dunia, tunajipanga upya. Life has to go on.

Kubwa lilinonileta hapa ni tukaio lililonikuta ijumaa jioni, Daaaaaah! Acheni tu! Almanusura nipewe MITAICHI, TAIKONDO, JUDO, KARATE, SUMARAI, KUNGFU, SUMO NA KICK BOXING KWA MPIGO!!!! Chezeya wachina nyie.

Ishu ilikuwa hivi, mchaga kasafiri kikazi sasa nikaona kuwahi kulala ijumaa kwa sie wanywaji ni zambi, so nitafute mishe mishe za japo kupunguza kiu kwa tuhenken tuwili ili nisiamke na hangover. Basi kuna sharo flani hivi aliniofferga dinner , nikawa sisomeki kwenye radar, sasa kila nikikutana nae inakuwa kama deni vilee, haishi kuniinvite over n over. Nikaona nimtafute tukapunguze mawazo kidogo. Basi nikamuuliza if the offer still stands akasema yah! Tukaonana tayari kwa dinner.

Akaniuliza ungependa kwenda wapi? Nikamwambia chagua weye! (Maksudically sabab yeye ndo anajua ana bajeti gani, itatosha wapi, alaf hawa masharo wasumbufu sana, ukimpeleka uswazi anaweza kukushusha bure) Akangangania bana chagua mwenyewe(mie ndo nichague) Mimi nikachgua bana, twende kwenye kisehem flani cha wachina nasikia wanauza wine na liquor za China, Taiwan na Hongkong. Akakubali banaaa. Kufika ushamba mzigo, nikamuuliza mhdumu whats is the favourite ya wengi hapo, akanitajia nikamwambia tuletee. Inapimwa kwenye tuglass tudogo, sie tunatirishia tumboni tu. Ni tamu kusema kweli, magnificient! Glass moja yaanzisha ingine.

Midamida tukaitisha bili basi, sharo kuona bili sura ikamsawajikaaa! mie kimyaa!,Mara akanigea nikaitazama, ni nomaaa! Kumbe the shit was damn expensive!!!! Ila nikanyuti sikusema chochote. Basi ndo kuniambia kwa upole, i cant cover this bill, nina shoti!!! Mtumeeeeeeeee! Na mie ndo sikubeba pesaa! Chupi ilinibanajeeee! Nikajikaza kibingwa nikamwambia toa basi uliyonayo, Ndo kunipa robo ya bili!!!!!!!!! Nikaona huyu anatka anichakachue, mwenyewe wa kitaa vile vile, nikamwambia Mimi natoa pesa ya nusu yangu tuuu, we hiyo robo iliyobaki utajiju! Nikaza kwenye kitita cha ofisi nikakwapua kadhaa, kumcheki huku mtu chozi linamlengalenga. Nikaona aibu za nini nikamuita muhudumu, nikamlipa bili yote. Sema ndo kanitia SHOTI KUBWAAA! HAIKUWA MPANGO!!!! Tukaondoka kimyakimya, njiani analeta story za ILL MAKE IT UP TO U!!!!( He will make it up to me My As*) I SO SORRY! Blah! Blah! Blah!

Hapa najamba jamba kupata pesa ya kujazia kitita cha ofisi kesho ndo kesho!!!! Na uchaguzi ndo tumepoteza, najihisi malaria, sijui nimwambie nini mchaga anitumie hizo MBESA za watu.

yaani hapo.. nnaposhindwaga kudefine wanawake aisee.. very complex creatures!
 
Hivi hii dunia bado kuna viumve wanategemea ofa? Tena huyo jamaa sio kwamba hakuwa na pesa bali alitaka akukomoe maana anajua hata wewe unazo unataka kurumia yake, yani k.... tu mnataka kutuingiza mjini, unamuita shalo kumbe yeye ndo anasitahili kukuita shalo. Mi mwanamke hawezi kula pesa yangu kwa maneno laini.
 
Pesa yaliwa tuuuuuuu! Samsoni na yote alijaaliwa na mola, Delila kamuingiza kingi!!!!! Mie yule bahati yake wale wachina ndo walinitisha, mambo ya whuuuuu haaaaaaaaaaa siyawezi, na nilimuonea huruma kumtelekeza pale wangemfanya vibaya bureee, mie wachina siwaamini amini. Ingekuwa uzunguni, ningemuacha daddy aje amlipie bill!
 
Huyo sharo alikuona ww wa kawaida sana tu siku iyo, sio kama ilivyokuwa apo awali.
Vinginevyo angepata tu hela hata kwa kurushiwa kwe simu.

Li wigi lilim-put off.
 
Hahahaaaaa! Sasa "I MAKE IT UP TO U!!!!" na kumungunya maneno Zilikuwa za nini? Au ndo zuga zuga za kidesign
 
I love ur attitude. Inaitwa value for money. We can shop pamoja, lol. Nachukia dukani wakisema sema una sh ngapi! Huwa nnawaambia naweza kuwa nazo za kununua duka lote ila sio nitakacho. Im ready kulipa this for that manake najiskia ndo thamani yake, basi!
Kuna mtu nilimuuliza why hana whatsup kwenye bb yake? Akaniambia it sounds cheap coz its free, nilichoka! (honey dont read this, plzzz).
sina hata chembe za upare.........
Ni mchumi, tujifunza jinsi ya ku-allocate resources efficiently (sio ubahili)
 
Huyo sharo alikuona ww wa kawaida sana tu siku iyo, sio kama ilivyokuwa apo awali.
Vinginevyo angepata tu hela hata kwa kurushiwa kwe simu.

Li wigi lilim-put off.
kaka ulikuwa ni ww nin? hapo kwenye red umejuaje?
mbona unakuwa mkali? unajua hizi ID zinaficha mengi, pole sana
Lara 1 keshakisanua huku si unamjua tena alivyo na meneno huyu mwanamama?
Njaua hata sasa hiv huwezi tena kujitutumua kumwambia umtoe out, hata akikupigia najua huwezi pokea coz utahis
anataka akupake na kukukejeli.
hata akikuita usiende mazee atakushushua hata mbele za masela wakati masela wa kitaa wanajua ww wa ukweli.

Ujanja: Siku ingine dem akikupeleka /ukimpeleka sehem ambayo hui amini amin na bei zao, ww jifanye km vile hutumiagi vinywaji, agiza maji makubwa ya Kili 1.5L, hata kama ni hotel ya nyota 5 sidhan km yatauzwa kaki, mchuchu acha yy ajichukulie hizo sijui toti za chainizi, na taiwani.
hapa utakuwa unamaintain bajeti.

Ila ww ulijifanya na wewe hutaki upate hasara ya kumpa vy ghali alafu ww sifaidi. Ila nafikiri litakuwa somo kwako km una akili. POLE
 
lara 1 umenifurahisha sana ngoja nilale sasa. Siku nyingine usirudie masharo hawaeleweki.
 
Last edited by a moderator:
I love ur attitude. Inaitwa value for money. We can shop pamoja, lol. Nachukia dukani wakisema sema una sh ngapi! Huwa nnawaambia naweza kuwa nazo za kununua duka lote ila sio nitakacho. Im ready kulipa this for that manake najiskia ndo thamani yake, basi!
Kuna mtu nilimuuliza why hana whatsup kwenye bb yake? Akaniambia it sounds cheap coz its free, nilichoka! (honey dont read this, plzzz).
watu wanadhani usipotumia hela ovyo maana yake huna hela......... huwa nawashangaa watu hao wanaotumia hela ovyo. siwezi kwenda salon expensive kusuka sababu tu ipo mikocheni nalipa 150000 wakati nywele zaidi ya hizo naweza kusuka kinondoni kwa 50000, sasa shule yangu inakuwa haijanisaidia. na wakati mwingine, huyo msusi wa kinondoni anaweza kuja nyumbani kwangu akanisuka nikamwongezea 10000 ya nauli.
 
Peopleeeeeeeeeessss! (Wakubwa zangu shikamooni)

Natumai wote wazima, na hakuna alieshikwa kwenye maandamano sababu wengi wenu wazee WAKUJIKAUSHA na kufatilia kwenye tv. (With the exception with fazaa, sijui kama umepona mpambanaji wa ukweli) Mie mzima nimetoka kwenye upambe nuksi wa uchaguzi wa Wanawake wa CCM huko (lazima nijikombe viti maalumu mchezo!!!) na mgombea wangu kashindwa, anyway sio mwisho wa dunia, tunajipanga upya. Life has to go on.

Kubwa lilinonileta hapa ni tukaio lililonikuta ijumaa jioni, Daaaaaah! Acheni tu! Almanusura nipewe MITAICHI, TAIKONDO, JUDO, KARATE, SUMARAI, KUNGFU, SUMO NA KICK BOXING KWA MPIGO!!!! Chezeya wachina nyie.

Ishu ilikuwa hivi, mchaga kasafiri kikazi sasa nikaona kuwahi kulala ijumaa kwa sie wanywaji ni zambi, so nitafute mishe mishe za japo kupunguza kiu kwa tuhenken tuwili ili nisiamke na hangover. Basi kuna sharo flani hivi aliniofferga dinner , nikawa sisomeki kwenye radar, sasa kila nikikutana nae inakuwa kama deni vilee, haishi kuniinvite over n over. Nikaona nimtafute tukapunguze mawazo kidogo. Basi nikamuuliza if the offer still stands akasema yah! Tukaonana tayari kwa dinner.

Akaniuliza ungependa kwenda wapi? Nikamwambia chagua weye! (Maksudically sabab yeye ndo anajua ana bajeti gani, itatosha wapi, alaf hawa masharo wasumbufu sana, ukimpeleka uswazi anaweza kukushusha bure) Akangangania bana chagua mwenyewe(mie ndo nichague) Mimi nikachgua bana, twende kwenye kisehem flani cha wachina nasikia wanauza wine na liquor za China, Taiwan na Hongkong. Akakubali banaaa. Kufika ushamba mzigo, nikamuuliza mhdumu whats is the favourite ya wengi hapo, akanitajia nikamwambia tuletee. Inapimwa kwenye tuglass tudogo, sie tunatirishia tumboni tu. Ni tamu kusema kweli, magnificient! Glass moja yaanzisha ingine.

Midamida tukaitisha bili basi, sharo kuona bili sura ikamsawajikaaa! mie kimyaa!,Mara akanigea nikaitazama, ni nomaaa! Kumbe the shit was damn expensive!!!! Ila nikanyuti sikusema chochote. Basi ndo kuniambia kwa upole, i cant cover this bill, nina shoti!!! Mtumeeeeeeeee! Na mie ndo sikubeba pesaa! Chupi ilinibanajeeee! Nikajikaza kibingwa nikamwambia toa basi uliyonayo, Ndo kunipa robo ya bili!!!!!!!!! Nikaona huyu anatka anichakachue, mwenyewe wa kitaa vile vile, nikamwambia Mimi natoa pesa ya nusu yangu tuuu, we hiyo robo iliyobaki utajiju! Nikaza kwenye kitita cha ofisi nikakwapua kadhaa, kumcheki huku mtu chozi linamlengalenga. Nikaona aibu za nini nikamuita muhudumu, nikamlipa bili yote. Sema ndo kanitia SHOTI KUBWAAA! HAIKUWA MPANGO!!!! Tukaondoka kimyakimya, njiani analeta story za ILL MAKE IT UP TO U!!!!( He will make it up to me My As*) I SO SORRY! Blah! Blah! Blah!

Hapa najamba jamba kupata pesa ya kujazia kitita cha ofisi kesho ndo kesho!!!! Na uchaguzi ndo tumepoteza, najihisi malaria, sijui nimwambie nini mchaga anitumie hizo MBESA za watu.

kwa hiyo wewe LARA1 a.k.a partner in crimes
Maneno yoteeeee tubill tu kunakuuma na huwezi kujipa offer wewe au kumpa mtu offer??
Ama kweli watu tunatofautiana
mi nilikuwa nakuona bonge la mjanja kumbe maneno ya keyboard tu na simu za kichina
yani heineken 2 ili usiamke na hangover mpaka utafute offer???
Kuanzia leo hupati like yangu tena otherwise withdraw ur statement
hakuna kitu kizuri kama kutoka mwenyewe au na watu kisha ukalipa au mkashare unakuwa free sana kuliko kulipiwa na mtu
and that is very low my dia dia kama huna hela lala kama unayo toka bila mawazo maisha ni marahisi sana
hayo mambo waachie wenzako wa mtaani ila si wewe
ha ha ila huyo kijana ataenda kuhadithia kama namuona alivyokuwa mdogo atakuheshimu mama japokuwa hapo una mijiwazo ya pesa za watu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom