Duuh, umenikumbusha one day nimeenda ofisi ya mkuu wa mkoa Mara.
Before nilikuwa nikifanya mawasiliano na dada mmoja alienipigia baada ya kukabidhiwa barua yangu, akasema niende ofisin nikajitambulishe, so kwa vile barua nireaddress kwa RAS, moja kwa moja nikaenda ofisi ya Ras.
Aisee kidada kilimaind mbaya mno, alinipeleka secretary wa Ras baada ya kujua skuwa na appointment na Ras, secreatry akawa anakisihi, “mama hawa ni wageni wasikileze tu, hakuna kilichoharibika.”
Kikawa kinakaza kwann sikumpigia simu kumjulisha kuwa nimefika, naenda kwa Ras kufanya nn, Ras anaweza kunisikiliza mimi.
Hadi secretary akaondoka akaniacha na msala,
Hizi ofisi za utumishi wa umma kuna baadhi ya staff hawapaswi kuzihudumia, basi tu ni vile hakuna kujibishana serikalini.