mdesi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,373
- 2,251
Ni king'amuzi cha Startimes, baada ya kuona hakioneshi vizuri Chanel za IPP media especially ITV. Nilidhani ni kwangu tu, ila nimeona na jamaa zangu ni hivyo hivyo. Nilitamani nikikanyage kabisa. Nimefunga kingine, hata mabango ya Startimes sitaki kuyaona.