Nimekereka Sana Leo

Aliyekufundisha kunywa master spirit akamatwe na kuwekwa ndani
 
Poa ndio uandishi wawatu wengine ila kama mtu anaamua kukuchokoza kwenye kamba kwenye dirisha lako kwenye kila kitu silazima upigane heshima iwepo Sasa unapangiwaje nguo zako ulizozianika??
Kupigana, kutukanana hata kufanya kisasi sio solution kabisa. Ukimya ni jibu tosha kabisa kwa mjinga wewe angalia namna tuu ambayo unaweza kumuepuka chokozi zake bila kureact. Heshima haiji kwa kupigana na kutukanana bali inabomolewa mno. Hapo utakuwa more matured mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguzeni ulevi wa stress zisizo za lazima ili unapoandika uzi ueleweke
 
Umenikumbusha mchepuko wangu mmoja aliposhtukiwa na mke wangu akaanza kutukana, eti kwanza huyo mwanaume wako maskini nitembee naye wa nini, na matusi mengine mengi.....
Mkishtukiwa acheni matusi, jua wewe hapo kama mchepuko huna haki zaidi ya mke maalum, upo tu mpeane mautamu na huyo mume wa mtu.
 
akaanza kuniloga ...
 

Madhara ya Mwanamke kutobinywa tako,kutonyunyiziwa mbolea(sperm) na kulambwa papuchi

Ili kuponya afya ya akili na genye tafuta mtaalam tafadhali
 
Si useme tu kua umeshtukiwa na mwenye mali yake? unazungusha maneno unafikiri humu sisi wote ni hamnazo kama ulivyo wewe?
 
Full stress, akili zimehamia kwa mume wa mtu hata kuandika umeshindwa. Huyo dada akaze hapohapo wanawake badala ya kutafuta wako unajinyegesha kwa jirani.
 
Mbona kuna kipindi ulikuwa unaheshimika sana umepatwa na nini? Umeandika nini hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…