Nimekereka Sana Leo

Kwaiyo wewe siyo wa kawaida aisee wanawake mlipofikia mmh!
Yes mie sio wakawaida nipo serious kabisa husifikiri nakudanganya eti , nipo serious .

Sipo kama wanawake zenu nipo tofauti kabisa
 
Mie Nina mchumba nimempata tayari ila sio humu ila nimemfungulia jamii forum account yupo humu na huu Uzi ameusoma .
 
Ukweli ni kuwa ulikuwa unamtaka bwana wa mwenzako.

Baada ya kushtukiwa unakasirika na kutafuta visababu vya kujustify madhaifu yake.

Saikolojia tunaiita '

Defensive physiological reactions to rejection'​

Nani amtake kamtu kachagga kanapanga kamekomaa vima"""""tk vinaangaliana Kwa huzuni wanapika njee watu wapo hawajaoa wamejenga wanapesa wametulia utaona tu soon ngoja
 
So sina nyumba..., so kuna zenye room mbili.., so kuna huyo dada kaolewa... Yaani nimechoka na hizo so, so kabla sijamaliza hata kusoma. Ila, samahani, mimi nahisi wewe ndio chanzo cha tatizo kama siyo tatizo lenyewe. Msema kweli mpenzi was Mungu.
Mmh 😀😃😃😃😄😄😄 hivi vijitu vingine shenzi tu nimtake mwenye kuishi nyumba ya mwanaume mwingine ???

Halafu kaoa huyo kachuja eti ameshatumika Tena Kwa Sasa kasha zalisha mtu eti halafu kiuno kimepinda
 
Ukisema mtu utembee na mume wa mtu sio tz watu wanahela sa wa ila ni zamzunguko na zamikopo kibao Sasa akupe Nini za uchuma ulete za damu za watu za ushirikina mara achukue nyota ya Nini mnikome
 
Ukikasirikaga unaandika kijapani eee😂😂😂
 
Ukisema mtu utembee na mume wa mtu sio tz watu wanahela sa wa ila ni zamzunguko na zamikopo kibao Sasa akupe Nini za uchuma ulete za damu za watu za ushirikina mara achukue nyota ya Nini mnikome
Wewe kamanda kwani unauza😂😂😂😂
Asiyekuwa na pesa humvulii chupli?😂
 
Wewe kamanda kwani unauza😂😂😂😂
Asiyekuwa na pesa humvulii chupli?😂
Nope atakuongezea Giza hutoonekana usifikiri unapewa miorsa na matajiri tatizo ukiwa nao nyota Yako inang'aa unaonekana .

Ila hiyo ni zamani saivi mie sijisikii kulalana na hao Wala yeyote kabisa napoteza muda tu
 
Kwani dyudyu haisisimke tena?🤣🤣🤫
 
Florida,umelewa?Mbona haueleweki?Halafu,punguza hizo "so"!Zimekuwa monotonous!
 
Mh aisee, ila nakushauri usipigane basi, mengine sijaelewa pamoja na kujitahidi kusoma mara 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa ndio uandishi wawatu wengine ila kama mtu anaamua kukuchokoza kwenye kamba kwenye dirisha lako kwenye kila kitu silazima upigane heshima iwepo Sasa unapangiwaje nguo zako ulizozianika??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…