Nimekereka Sana Leo

Nimekereka Sana Leo

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,347
Nimehamia mjini so Sina nyumba ya kuishi so kukodi ni lazima nimmeleta na maza ili asiboreke kijijini nyumba ni self tu nzuri ya kawaida so Kuna zenye room mbili yenye kila kitu wanaishi wenye familia kubwa .

Sokuna huyo dad's kaolewa juzi kapata familia yake meaning kajifungua huyo dada anahisi kuwa nipo na jamaa yake Kisa ananisalimia Kwa furaha so shida ipo hapo .

Wanaume za watu Mimi kweli ni na chukiaga kulala nao maana ni nuksi unazuiwa kuoolewa Kwa urahisi ni gunduu sana na wanakufungia kutolewa ni kama shida tu unaitafuta .

Basi aka chukua Uzi wanguo yangu akapeleka Kwa fundi wake akaanza kuniloga basi Kwa maji na chumvi za maombezi na kutonywa kwenye ndoto .
Nikaona huyu mtu ananiletea ushuzi nikakata ukaribu naye.

Basi alianza visa nimeanika nguo aniwekea vizuri na kuniwekea pini zake Tena kwenye nguo ambazo ni nzuri.

Pili anakuja kuniwashia mkaa karibu na dirisha langu. Sasa mume anagari la kimaskini vibalooni vya kisasa ml 9 hujengi walakufungua biashara ya maana mie nitembee naye kweli ??

Niache watu na hela zao nikatembee na vishoia vinapanga vimezalia kwenye nyumba za wanaume wenzio.

Mi nataka nimfuate nimpigee .
Haiwezekani aniandame hivi Kisa watu wengine ndio wanamzunguka hao ndio wanamla kikulacho kipo nguoni mwake naweza kulalana mume wa mtu kweli???? Tena huyu kapinda kiuno mxiuu kishoia tu Tena kachaga ndugu zake hawajui choo chakukalia wameharibu
 
Nimehamia mjini so Sina nyumba ya kuishi so kukodi ni lazima nimeleta na maza ili asiboreke kijijini nyumba ni self tu nzuri ya kawaida so Kuna zenye room mbili yenye kila kitu wanaishi wenye familia kubwa .

Sokuna huyo dad's kaolewa juzi kapata familia yake meaning kajifungua huyo dada anahisi kuwa nipo na jamaa yake Kisa ananisalimia Kwa furaha so shida ipo hapo .

Wanaume za watu Mimi kweli ni na chukiaga kulala nao maana ni nuksi unazuiwa kuoolewa Kwa urahisi .

Basi aka chukua Uzi wanguo yangu akapeleka Kwa fundi wake akaanza kuniloga basi Kwa maji na chumvi za maombezi na kutonywakwenye ndoto .
Nikaona huyu mtu ananiletea ushuzi nikakata ukaribu naye.

Basi alianza visa nimeanika nguo aniwekea vizuri na kuniwekea pini zake Tena kwenye nguo ambazo ni nzuri.

Pili anakuja kuwashia mkaa karibu na dirisha langu.
Sasa mume anagari la kimaskini vibalooni vya kisasa ml 9 hujengi walakufungua biashara ya maana mie nitembee naye kweli ??

Niache watu na hela zao nikatembee na vishoia vinapanga vimezalia kwenye nyumba za wanaume wenzio

Mi nataka nimfuate nimpigee .
Haiwezekani aniandame hivi Kisa watu wengine ndio wanamzunguka hao hao ndio wanamla kikulacho kipo nguoni mwake naweza kumla mume wa mtu kweli????
😳😳😳😳😳
 
Nami Imeniuma Sana kwakweli
IMG_20211103_124012.jpg
 
ulikua unaishi wapi na umehamia wapi ili tukupe ushauri kulingana nawatu wasehemu husika jinsi yakuishi nao dadaetu?
 
Mume wa mtu ni madhiwa wewe, acha tabia za kuponda watu wakati wewe ni kawaida tu ndio maana umepanga apartment.

Kwakuwa umevurugwa wacha nikuwwke spare kwa leo, ila maisha ya kuponda watu siyo, hata Bodaboda ukimpenda wewe MPE tu akubinuwe hakuna formula kwenye mapenzi.
 
Shenzi tu mume wa mnyama nafuu yaani anitafute mume mwenyewe kapinda kiuno
 
ulikua unaishi wapi na umehamia wapi ili tukupe ushauri kulingana nawatu wasehemu husika jinsi yakuishi nao dadaetu?
Nilikuwa naishi Kisongo , Sasa huko ndio kwetu halafu sasa nikaona ipo mbali na kazi ninayoifanya so nikahamia karibu ya mji ili niwe naingia usafiri mmoja so nipo mjini kati sio mbali Tena
 
Ukweli ni kuwa ulikuwa unamtaka bwana wa mwenzako.

Baada ya kushtukiwa unakasirika na kutafuta visababu vya kujustify madhaifu yake.

Saikolojia tunaiita '

Defensive physiological reactions to rejection'​

Mume wa mtu ni madhiwa wewe, acha tabia za kuponda watu wakati wewe ni kawaida tu ndio maana umepanga apartment.

Kwakuwa umevurugwa wacha nikuwwke spare kwa leo, ila maisha ya kuponda watu siyo, hata Bodaboda ukimpenda wewe MPE tu akubinuwe hakuna formula kwenye mapenzi.
Wakawaida wewe unanijua kama Mimi niwakawaida ???
 
Back
Top Bottom