Nimekatishwa mchezo wakati naelekea kufunga goli

Nimekatishwa mchezo wakati naelekea kufunga goli

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
852
Reaction score
2,976
Hii sasa naona mambo yanaenda kuwa magumu

Siku za karibuni nikiwa na mwenzangu tunafanya tendo Mara ile nakaribia nikakatishwa

Ghafla kumuuliza nini shida akanijibu hivi

Nanukuu' hivi ndivo wewe hunifanyia kila siku' mwisho wa kunukuu.

Kwakweli mpaka sasa bado natafakari

Mwanzoni mambo yalikuwa tu poa mm muda wangu ni ule ule haujawahi badilika ni dk 5 hadi 20+

Je stress zinaweza kupelekea mwanamke asifike kileleni? Maana tulishapitia ugomvi sana siku za nyuma.
 
T

Timu kibamia
 
Basi ligi iendelee mfanyiane hivyo kila match mpaka mmoja aombe poo.
 
Nikajua yamekukuta kama yaliyokanikuta mimi, ndoa za kiislam bana! nilikatishwa katikati ya lile tendo nikaambiwa nimalizie mahari yake kwanza, ila hiyo siku bibilia ilinisaidia nikamwambia "mungu amesema tusinyimane".
 
muda si mrefu utakuja na uzi wa kuomba ushauri mkeo kacheat kwa kuwa humfikishi kileleni.
 
Jipige kifuani sema "nimepata mwanamke muwazi"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom