Ni kweli Juliana Shonza
Humfahamu Mrisho Gambo,na nashangaa unatowaje sifa kwa mtu usiyemfahamu.Mrisho kweli ni jeuri,ana kiburi na matusi ya nguoni.Hata wewe ukikaa vibaya lazima akutukanie hata mzazi wako.
Ingekuwa vema ungekaa kimya kuliko kujipendekeza wakati humjui Gambo.Wewe unayejiita mwanamke mpambanaji inabidi ujipambambanue,maana wanawake wenzako alikopita Gambo kama kiongozi wamedharirishwa sana,kuanzia Korogwe mpaka Uvinza.
Nilidhani utamuonyaa aachane na tabia za matusi....Hapa chini ni ushahidi wa wanawake wenzake,wenye kuzunguka round about kila mwezi walivyoshuhudia tabia mbovu za huyo unayemsifia.
"Mhe. Gambo analalamikiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa Matumizi mabaya ya uongozi yakiwemo matumizi ya lugha chafu, kukiuka sheria mbalimbali pamoja na ubabe wakati wa kutekeleza majukumu yake kama Mkuu wa Wilaya ya Korogwe
Pia Shahidi huyo alidai kuwa Mkuu huyo wa Wilaya aliwahi kumtukana hadharani matusi ya nguoni Mtumishi mmoja wa kike wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe ambaye alikuwa ni Mwanasheria wa Halmashauri hiyo na kupelekea mtumishi huyo kufungua kesi Mahakamani dhidi ya Mkuu huyo wa Wilaya, kesi ambayo alidai bado inaendelea mpaka sasa
Kwa mujibu wa Mhandisi Mwahalende, katika kipindi hicho utendaji wa Mkuu huyo wa Wilaya haukuwa mzuri kwa mambo ambayo yeye mwenyewe ameshuhudia ambayo ni pamoja na lugha chafu ambayo haistahili kuzungumzwa na Kiongozi, Utawala wa mabavu na amekuwa ni kikwazo cha maendeleo ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe kwa kukwamisha miradi mbalimbali ya maendeleo"
Naona unampamba tu hakuna mtu wa kumfuatilia huyo mtu maana ni sawa na mfurahisha gengeHii akaunti ya mtoa mada ipo hacked au?
Taja Mafisadi 20 halafu angalia wamelelewa chama gani!Ni kweli Juliana Shonza, nakubaliana na wewe 100% CCM ni chama pekee cha kuzalisha viongozi bora nchini mwetu
Kwa Katiba iliyopo tupo sahihi kwa kila jambo.Wa kudadavua nakushauri ukadadavuzi kabisa ile katiba ili ikibidi tusipoteze pesa kwenye Demokrasia isiyotija wala kuheshimiwa
Pole sana,ndio. hivyo lazima wajipendekeze!Anakiri kutomjua halafu anamwaga sifa kedekede!Niliposoma heading nikashtuka,nikasema haiwezekani akosoe uteuzi wa Rais!Baada ya kuona kilichoandikwa ndio nikasema yes,this is ccm material!Yaani hii ndo akili ya viti maalum wengi. Purely useless.
Mi ni mwanamke ila sipendi viti maalum maana hiyo empowerment ni useless.
Hata Nashindwa kumuelewa huyu bibie katunukiwa ubunge atulie, anajidhalilisha tu ananuudhi sana yaaniCCM ndio imejaa ****** wote "humfahamu" lakini hatokuangusha na unampongeza sana?! Juliana tulia tu maana kila ukisema unaharibu na kuonesha jinsi ulivyo MBUMBUMBU.
CCM ndio imejaa ****** wote "humfahamu" lakini hatokuangusha na unampongeza sana?! Juliana tulia tu maana kila ukisema unaharibu na kuonesha jinsi ulivyo MBUMBUMBU.
Wapinzani unao wasema? LEMA alileta uzi humu jukwaani kumpinga Zitto juu ya posho, na kumwambia anataka sifaTuache unafiki,kwenye swala la posho wote mko pamoja na bora hata wapinzani huwa wana-sacrifice posho zao wanapoamua kupinga baadhi ya mambo kama vile waliyofanya kwenye Bunge la Katiba.