Nimekata tamaa ya maisha

Pole
 
Je unaendeleaje?
Mara ya mwisho umeonekana humu Ijumaa 09:40 pm.
Natamani kusikia Mungu alikufanyia wepesi, ulijifingua salama, na nyakati ngumu zimepita
 
Je unaendeleaje?
Mara ya mwisho umeonekana humu Ijumaa 09:40 pm.
Natamani kusikia Mungu alikufanyia wepesi, ulijifingua salama, na nyakati ngumu zimepita
Asante sana nilijifungua salama nilipambana mpaka lastweek niligundua kumbe mr anatoka na jiran yangu ndio kunitesa siku zote hizo
 
Pole sana
 
Usifanye hivyo mkuu. Yatapita usijiue... Kumbuka si wewe pekee sema smiles zinaficha mengi.
Kuna mdada anafanya kwenye kampuni ya mikopo kajiua last three weeks kaacha watoto watatu mmoja mdogo kisa mikopo.
 
Kuna mama amejiua pale Kilimanjaro,yeye pamoja na wanae mwezi uliopita,...Rest in Peace dada ulipambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…