Changamoto yake siyo kukosa mtaji, changamoto yake nikutaka kuanza na kikubwa ilhali mtaji alionao ni mdogo, hapo utajikuta unapoteza hata kidogo ulokuwa nacho.Mwenzako changamoto yake sio kuchafuka kwa tope wala kushindwa kusimamia au kuingia shambani, mtaji au pesa ya kuendeshea shughuli za shamba ndio tatizo.
Sasa wewe unaelezea usimamizi wa vibarua na mambo ya boot wapi na wapi? Lakini hongera kwa kuwa na shamba.
Changamoto yake siyo kukosa mtaji, changamoto yake nikutaka kuanza nakikubwa ilhali mtaji alionao ni mdogo, hapo utajikuta unapoteza hata kidogo ulokuwa nacho.
Hapana ni mtaji mkuu, yaani nimeyumba, wala sio sehemu ya kuanzia labda ukunielewaChangamoto yake siyo kukosa mtaji, changamoto yake nikutaka kuanza nakikubwa ilhali mtaji alionao ni mdogo, hapo utajikuta unapoteza hata kidogo ulokuwa nacho.
Mkuu kama nimekuelewa umesema shambani ulienda na laki 7, nampaka sasa umepanda eka 5 bado tena kadhaa, ni sahihi? Kama ulikuwanayo laki7 wakati unakwenda shamba inamaana huo ndiyo ulikuwa mtaji wako wa shambani (700,000), ulitakiwa upange mipango yako ya shambani kwa mtaji ulionao, siyo kwa matarajio mengine. Kazi ya shamba ina tatizo moja, unatakiwa uwe umeset aside cash kwa ajili ya kazi husika, pesa ya kazi yote iwepo.Hapana ni mtaji mkuu, yaani nimeyumba, wala sio sehemu ya kuanzia labda ukunielewa
Subira ni jambo gumu isipokua kwa wanyenyekevu..mkuu sijasema kama yuko mbali na mungu..nimemshauri tu azidi Kumgeukia mungu.Ipo siku tu atafungukiwa.Kwani mtu akiyumba ndiyo kusema yuko mbali na Mungu?!! Wangapi wanakesha makanisani wakisali na hawana kitu?
Asante kwa ushauri kakaPole kwa yanayokusibu! Maelezo uliyotoa yanakinzana na CV yako. Ujasiriamali umeyumba, ushawishi kwa wateja/ madalali pia hukuumudu, ila kwenye karatasi umeweka.
Ikitokea unapata mtaji, usipoteze muda wako kwenda kulima, kama hutanunua mazao, basi nunua vitu mjini wapelekee vijijini hasa baada ya kuuza mazao yao wanapokuwa na pesa.
Ni kweli vijana hamtaki kufanya kazi, hata kusoma tu mdau alichoandika umeshindwa!! Ukisoma vizuri utahundua kwamba jamaa anafanya kazi kwa bidii.Mnajitesa wenyewe vijana hamtaki kufanya kazi!!!