lusanasaimon
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 108
- 264
sasa mbona nimekwisha pima mbegu nimeambiwa niko sawa ?Swali la Muhimu JE ULIWAHI KUPIGA MIMBA NJE YA NDOA???? KAMA SIO BHASI WEW NDO MWENYE TATIZO
Fanya jaribio kwa mpango wa kando halafu utanishukuru baadayelhabari za wakati huu,
wakuu naomba angalau msaada wamawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya
mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye anamtoto alie mpata akiwa secondary. tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumesha tumia dawa mbali mbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo
lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alisha wahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani. na alikua ana sumbuliwaga na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumesha tafuta miti shamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu. naomba kama kuna watu wamesha pitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo
nime oa lakini so hili jambo muhimuMiaka 27 bado mdogo acha kujibebesha stress za bure.
asante sana kwa mawazo yako🤝Jipeni muda, stress za kutafuta mtoto ndio zinafanya msimpate. Relax, kuleni vizuri na mfanye mazoezi mtapata tuu
eti eeh kwa sababu hata kabla sijakutana na huyu mwanamke. mimi nimekua nimtu nisiebadili wanawake (madem)Fanya jaribio kwa mpango wa kando halafu utanishukuru baadayel
Usidanganye watu wewe kwenye issue muhimu!Swali la Muhimu JE ULIWAHI KUPIGA MIMBA NJE YA NDOA???? KAMA SIO BHASI WEW NDO MWENYE TATIZO
duhBado mdogo sana kuwa na stress za hivyo mkuu. Relax piga zoezi mdogo msogo ujisahaulishe usimsumbue sana mkeo kwa maneno anaweza beba ya mtu mwingine akasingizia ni wako ili tu kukupoza
Dogo acha wenge. Nimeamua kutumia lugha ya mtaani kwa sababu nashangaa sana. Wewe bado ni mdogo halafu una miaka mitatu tu kwenye ndoa. Huu ni muda mfupi wa kukata tamaa. Kama umepima na kila kitu kiko sawa basi nina uhakika utapata. Hata mimi mtoto wa kwanza nilikuwa na kiherehere, mwaka mmoja tu nikaona kama nachelewa ikabidi niende hospital. Nilipewa vidonge na mke akashika mimbana kuzaa salama. Baada ya mimba ya kwanza ikawa kama ndiyo tumefungilia rasmi. Kila nikumgusa kidogo, mimba yaani ilifikia kipindi nilikuwa masomoni na nikija likizo siku ya kwanza mimba inaingia. Nachotaka kukushauri ni kuwa usijione kama unachelewa na utakuja kupata. Jaribu kwenda sehemu kama Muhimbili mwone bingwa atakusaidia zaidi. Na wewe ujifunze kufanya timing kulingana na mizunguko yake siyo unakimbilia kujaribu kila siku.habari za wakati huu,
wakuu naomba angalau msaada wamawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya
mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye anamtoto alie mpata akiwa secondary. tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumesha tumia dawa mbali mbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo
lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alisha wahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani. na alikua ana sumbuliwaga na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumesha tafuta miti shamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu. naomba kama kuna watu wamesha pitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo
Tatizo si miaka yake, bali miaka ndani ya ndoa. Huwa kuna stress sana. Mwanaume wa miaka 27 yupo katika kipindi kizuri sana cha mbegu zake kuwa na uwezo wa kurutubisha.Miaka 27 bado mdogo acha kujibebesha stress za bure.
aiseeh acha nivute subira japo inahuzunishaMiaka 27 bado sana, unaweza kupata mtoto wa kwanza ukiwa na miaka 37.
Mwamini Mungu, anaweza.
asante sana kakaDogo acha wenge. Nimeamua kutumia lugha ya mtaani kwa sababu nashangaa sana. Wewe bado ni mdogo halafu una miaka mitatu tu kwenye ndoa. Huu ni muda mfupi wa kukata tamaa. Kama umepima na kila kitu kiko sawa basi nina uhakika utapata. Hata mimi mtoto wa kwanza nilikuwa na kiherehere, mwaka mmoja tu nikaona kama nachelewa ikabidi niende hospital. Nilipewa vidonge na mke akashika mimbana kuzaa salama. Baada ya mimba ya kwanza ikawa kama ndiyo tumefungilia rasmi. Kila nikumgusa kidogo, mimba yaani ilifikia kipindi nilikuwa masomoni na nikija likizo siku ya kwanza mimba inaingia. Nachotaka kukushauri ni kuwa usijione kama unachelewa na utakuja kupata. Jaribu kwenda sehemu kama Muhimbili mwone bingwa atakusaidia zaidi. Na wewe ujifunze kufanya timing kulingana na mizunguko yake siyo unakimbilia kujaribu kila siku.
Pole sana.habari za wakati huu,
wakuu naomba angalau msaada wamawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya
mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye anamtoto alie mpata akiwa secondary. tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumesha tumia dawa mbali mbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo
lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alisha wahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani. na alikua ana sumbuliwaga na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumesha tafuta miti shamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu. naomba kama kuna watu wamesha pitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo
Bora akatafute za kununuaMiaka 27 bado mdogo acha kujibebesha stress za bure.