BlackBella
Member
- Aug 10, 2012
- 28
- 10
Mimi mwanaume mwenye miaka 46,ni muda mrefu nipo hapa Jamii natafuta mke,kwakweli wanawake wote ninaowasaliana nao hapa maswali yao yapo ktk kipato na Nyumba,wote wana interest ya niwe na kipato cha kutosha na Nyumba!kwakweli Nimekata tamaa ya kupata mke hapa jamii wengi wa wanawake hapa malengo yao si mume tu bali pia wana malengo binafsi.