Nimekata tamaa ya kuolewa

hahaaaaa..ni sheeedahh!!bora nicolewe coz nitakua free kuchange ladha
 

Usikate tamaa!!!! Maana tupo wengi tunaohitaji mke wa aina yako!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Mtoa mada muunganishe rafiki yako na fursa hii hapa
 
Kwani nani anaoa siku hizi. Wenyewe ni kero tupu. Bora hata uambulie mtoto shukuru Mungu. Wanawake wameharibu wanaume wote.
 
Natasha kaolewa na miaka 50+ alikuwa na mtoto na wajukuu 2 asikate tamaa mapema na asione huyo mtoto kama kikwazo as long as alikubali kuibeba mimba yake na kuzaa kwa uchungu hiyo ni baraka

unajitahidi kutia moyo waliokata tamaa....
 


sio mimi ndugu ni story ya rfk yangu ila kama upo serious nimfikishie ujumbe
 
Naitaji kuoa. Lakini nina watoto 8 kila mtoto ana mama yake na nuna umri wa miaka 36 kazi yangu ni Daktari (MD) kama yuko tayari tuwasiliane. Naishi Kibaha.

Huyo Daktari mwenzio ndo kamtenda hivooo...kwani haogopi..?
 
Nilijua wewe yamekukuta kumbe rafikiyo.

Mwambie aondoe mawazo ya wasi wasi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…