Habari?
Nahitaji msaada mwenzenu hali sasa ni tete, maisha yanaenda kombo natamani niwe safarini kila siku. Tatizo ni kwamba I am one minute man. Iko hivi, mwenzenu goli moja hunichukua nwastani wa dakika moja hadi mbili kutoka bila mwenyewe kupenda na baada ya hapo kitu kinalala doro,hata ufanyaje hakiamki mpaka kesho. Shemeji yenu wmanzoni alikaa kimya, nadhani ni kwasababu nilikuwa nawahi bao la kwanza lakini baada ya mapumziko ya nusu saa hadi saa mojanaweza kuendelea. Saivi hali imekuw mbaya, shemeji yenu amekuwa akilia na kuniambia anateseka na anahisi kuna kitu anapugukiwa na kuniambia isingekuwa kunipenda na mafundisho ya dini angetafuta mtu!!!!!!!!!!
Njia za awali kutatua tatizo. Kwanza nilijaribu kutafuta kazi za nje ili kupima uwezo nako niliaibika, nikatembelea website mbalimbali hasa hapa jamvini na kukuta tiba kama vitunguu swaumu nikala na kuishia kunuka mdomo tu. Natumia asali kwa wingi lakini bado. Nampenda sana wangu na mwanangu lakini naona sasa nitakimbiwa mda si mrefu. Naombeni mtu anayefahamu tiba ya tatizo hili anisaidie kwani natamani kujiua sasa. Naombeni msaada tafadh ali.

kwanza hongera kwa kukubali kuwa una tatizo..second,punguza mawazo na jenga roho ya kujiamini they are very crucial in solving your problem..kumbuka sex haimanishi penetration peke yake,inategemea unamuandaa vp bibiye.devote most of your time in fore-play mpaka una hakikisha anakojoa atleast once before penetration.kuna wataalamu wanashauri wakati unasex hamisha mawazo yako yasiwe hapo kwa mfano fikiria mtihani mgumu ambao ulishawahi kufanya hii inapunguzaga kidogo speed ya kuwahi.also kuwa creative,unapohisi unakaribia chomoa mashine badilisha style,kile kipindi cha kukaa mkao mpya kinashusha hile hamu ya kufika kileleni.pia nikikumbuka enzi zangu za utotoni nilivyokuwa napiga punyeto i came across an article ambayo ilinisaidia kuprolong mambo,ukihisi unakaribia kumaliza chomoa mashine halafu kwa kutumia kidole gumba na kile kinachofuata bana kichwa cha uume kwa nguvu itaprolong mambo kidogo..foreplay sio lazima iwe kabla ya penetrative sex tu,uzalendo ukianza kukushinda rudi tena kwenye kumchezea umpagawishe zaidi mzee akipoa endelea....all in all kuwa creative....
mkubwa hiyo kwenye bold nimejaribu hataki anasema namkata stimu
Pole kwa tatizo lako man ila kama lina zidi na ufumbuzi haupatikani babu kandamiza viagra
Viagra ina madhara makubwa kwa kuitumia kila siku.Pole kwa tatizo lako man ila kama lina zidi na ufumbuzi haupatikani babu kandamiza viagra
Wingu!!
Hapana kaka!! Solutions zipo nyingi. Atafute atapata solution nzuri tu. Tusiishi kwa hizo VIAGRA.
Short term solution. Saa chache kabla ya mechi tafuna chocolate na au kunywa redbull
Ila hii tabia ya mtu akiwa na tatizo anakuja na ID mpya ina walakini
Short term solution. Saa chache kabla ya mechi tafuna chocolate na au kunywa redbull
Ila hii tabia ya mtu akiwa na tatizo anakuja na ID mpya ina walakini
Mwali,Sidhani kama huyu jamaa anahitaji ku romance sana sza kuharibu mambo akaishia njiani bora awe anasonga front tuu.Hongera kwa kuchukulia tatizo lako hatua.Primature ejaculation inahusu inability ya kuvumilia hadi pale utakapo mridhisha mwenzio, wala sio swala la dakika (ila unaweza kujaribu hii calculator hapa, inahusisha miaka, race, nchi na mengine)kumbuka average ya mwanaume ni dakika 2:54, hivo kama unafika 2:00 sio mbaya sana. (source)Sometimes kuja haraka kunatokana na exitement yako ya kua na mke wako. Jaribu kuchukua muda mrefu zaidi kwa maandalizi hadi akili yako izoweye yale mazinginra, excitement itakua imepungua na itasaidia kumridhisha ndani ya dakika chache.Pia jaribu kufuta kumbu kumbu za kushindwa, mara nyingi ndio zina sababisha tatizo kuzidi kua worse.(souce kubwa:somo anae nifunda)