kimbisi mbisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 508
- 132
Msimkatishe tamaa mwenzenu bana, hivi naomba niwaulize hamjawahi kuona au kusikia msichana kapewa mimba?, je mwanaume huwezi muowa kwa kuwa eti ana mtoto??, haijawahi kuwatokea katika familia zenu??, acheni hizo. Je we uliyeoa unajuaje kama watoto wote ni wako?? Jiangalieni.