Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Wakuu nimemeliza hiyo shule last year na ninatamani kufanya kazi kwenye taasisi inayoendeshwa kisasa kabisa ikiwa ya kimataifa nitafurahia zaidi, Ni mtu mwaminifu na mwenye maadili na ninayejifunza kila uchao. Kama unahitaji mfanyakazi atakaye kuongezea tija basi wasiliana name.