ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,677
- 7,105
Ishu sio kutishwa na mauti bali ni kuiachia familia yako mazingira bora . Mara nyingi mashemeji ,wazee hukimbilia kupora kila kitu pale ndugu yao anapofariki bila kujali haki za watoto na mke wa marehemu. Rejea kisa cha mke wa marehemu deo filikunjombe ambae pamoja na umaarufu wake anapambana mahakamani kupata haki ya mali alizoacha mumewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjane unamsaidia vipi wakati capital yake (mbunye)unamuacha nayo?
Sisi tunaoamini katika uzima wa milele hatutishwi tishwi na mauti maana tujapokufa tutaishi na kama hivyo vijimali si kitu, hakika twauendea mji ambao mali zake haziliwi na kutu wa nondo TAMANI FAMILIA YAKO WAWE SEHEMU YA MALI HIZO.
Sent using Jamii Forums mobile app
