Upajue kwake ili kukiwa dharura usiulize njia gani nikate kona ipi mmmmmh vizuri sana....Nilielewa alitaka nipajue anapoishi na kubadirishana mawazo lakini nikakuta yupo peke yake hakuna mtu kama hivo
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
Mimi nipo nyumbani bado, get hilo
hapana ubebe na movie au series nzur ya mazombie
Duh...u mean mleta mada sio mwanaume?
Mbona dem ukimkarbisha home ukitaka kumgegeda bila kumwambia mambo ya kugegedana before huwa hawataki,,,,, mbona sisi tu lawama?
Umenena vema ni makosa unapoarikwa kwenda na rafiki jamani mwaliko ni wako? mie nilidhani ni kwa akina dada tu kuwa na mashoga zao kumbe hata man unafanya hivyo, acha mara moja tabia haifai hiyo.Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
Duh...u mean mleta mada sio mwanaume?
we jamaa kama huli utaliwa niamini mimi
siku nyingine beba na karata mtacheza mchezo wa kuoana
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
Hii tabia mara nyingi wanayo watoto wa kike sijui msela nae kaicopy huko yakualikwa mahali afu unaenda na rafikio.... Tabia ya kishenzi sana
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
Kumbe nurse tena,,,, anapata pesa mtoto msafi. Huyo ni wakutumia tu. Na ni bora amekwambia anakutaka kimapenzi. Kama humwamini kiafya condom zipo.
unapenda vya mteremko eeeh!!! watu km nyie ndo mnafanywaga vibaya na wanaume wenzenu.
Nani asietaka kugegedwa dunia hii,,,,, hizo huwa mbwembwe tu
sikuwahi kulijua hili.. thank u