Ndoa si maigizo,ndoa ni maisha yako, kazi yako, pumzi yako, furaha yako.Tulia nenda polepole usiharakishe Mambo,ikishindikana basi yupo mtakaye ambatana Kiimani.
Dini zina nguvu sana katika maisha ya kila siku.
Usipokuwa makini tofauti zenu za dini zitawaletea migongano ya kila siku hasa upendo wenu utakapokuwa wa kawaida, i mean mkizoeana.
Kipindi cha awali mapenzi huwa mazito lakini kuna wakati mtazoeana. Hivyo chukua tahadhari
Mkuu mbona Kuna wasichana wa kikiristo ni wengi na wazuri nenda kahudhurie ibada kanisani maeneo ya ostabey, upanga na Mikocheni, acha kufata fata wanawake wetu wa kiislamu....!