Nimekabidhi kazi ya Ujenzi Bagamoyo

Nimekabidhi kazi ya Ujenzi Bagamoyo

Joined
Nov 19, 2017
Posts
814
Reaction score
1,026
Namshukru Mungu nimekabidhi kazi ya Jengo hili kwa Mteja wngu
Ni Wilaya ya Bagamoyo
Tulianza Msingi mpaka hatua hii
Hakika Uaminifu ni Mtaji
Jengo lina vyumba vinne
Master moja
Self mbili
Ukubwa ni sq. M 221.
Ukihitaji huduma yngu Tuwasiliane whatsapp 0652 881 000.
FB_IMG_1533767343671.jpg
 
Hongera sana mkuu.Hakika Wewe ni fundi Bora. Na inanipelekea kuamini ya kwamba utakuwa MUAMINIFU PIA.
 
Back
Top Bottom