Nimejitolea kuwa mbeba ndoo ya michango kwenye mikutano ya CHADEMA

Nimejitolea kuwa mbeba ndoo ya michango kwenye mikutano ya CHADEMA

Ukitaka kukosana na MBOWE na LEMA basi omba kubeba ndoo ya michango, hata SUGU na MSIGWA hawana hiyo ruhusa ni MISUKULE tu wanaendeshwa kama gari bovu.
Eeh... Ilipo roho na hadhina iko hapo hapo
 
Aisee Chris Lukosi una bidii kweli ya kuwaponda hawa wapiganaji, hivi huwa unalipwa kwa kazi hiyo?
Lukosi ana hasira na Lema kwani inasemekana Lema alipoenda kule UK aliwahi kula kidosho chake na uhasama ukaanzia hapo
 
Last edited by a moderator:
Njaa mbaya sana,mara unatushawishi tusinunue magari ya kijapani,ili utuibie kama ulivyomwibia Mjane
 
Ndugu zanguni,

Baada ya kusikia jamaa zangu ambao ni wabunifu wazuri wa miradi ya kukusanya fedha kuwa wamekuja na singo mpya iitwayo PAMOJA DAIMA. Mimi kama Kamanda mstaafu, Kwa moyo mkunjufu nimeamua kujitolea kubeba ndoo ya michango wakati wa mikutano hasa ya Mbowe na Lema kama ishara ya kuwaunga mkono makamanda.
wa hapa jamvini watanipongeza

SIO VYEMA KUWAACHIA VIONGOZI WA CHAMA KAZI HII NGUMU YA KUKUSANYA FWEDHA KWA MANDOO NA MABOKSI.

Ninawaahidi kutumia uzoefu wangu wa kubeba maboksi kwenye hii shughuli, hata ndoo ikijaa vipi nitanyopa tu, wengi mnaijua CV yangu kwenye fani ya maboksi.

JITAMBUE!
Cha1.jpg
Hao watu hawalazimishwi kutoa hiyo michango, na hiyo inawaonyesha kuwa hiki ni chama chetu, na hiyo ni bora kuliko kuiba pesa bank kuu kupitia EPA, kisha mlio watumia wakifungwa mnawapa misamaha ya jela, sababu mnajua kuwa mliwatumia kwa hiyo dhamira zenu zinawauma. Lakini mwisho wenu utafika, halafu wewe unakisema cdm hata kuliko wale wanao faidika na hilo lichama lenu lililo choka na kupauka, hata mkaliosha na sabuni gani halitakati tena sababu limebeba uchafu mwingi sana.
 
Ndugu zanguni,

Baada ya kusikia jamaa zangu ambao ni wabunifu wazuri wa miradi ya kukusanya fedha kuwa wamekuja na singo mpya iitwayo PAMOJA DAIMA. Mimi kama Kamanda mstaafu, Kwa moyo mkunjufu nimeamua kujitolea kubeba ndoo ya michango wakati wa mikutano hasa ya Mbowe na Lema kama ishara ya kuwaunga mkono makamanda.

Ni mategemeo yangu kuwa uamuzi huu wa busara utaungwa mkono kwa nguvu zote na wengi na hata mbulumundu wetu wa hapa jamvini watanipongeza

SIO VYEMA KUWAACHIA VIONGOZI WA CHAMA KAZI HII NGUMU YA KUKUSANYA FWEDHA KWA MANDOO NA MABOKSI.

Ninawaahidi kutumia uzoefu wangu wa kubeba maboksi kwenye hii shughuli, hata ndoo ikijaa vipi nitanyopa tu, wengi mnaijua CV yangu kwenye fani ya maboksi.

JITAMBUE!
Cha1.jpg

Bela kamwene MWaLUKOSI.
NIKUSHAURI TU KUWA NA NYINYI CCM MUAZISHE UCHANGISHAJI ILI UWE UNABEBA NDOO.
 
duh majamaa uchawi wao unatisha.....maskini hao wakutupwa wanawakamua namna hii?
 
Utatukana lakini ukweli unabaki ukweli CHADEMA tunasonga mbele . zaidi unajibeza
 
Moto wa OPD umekuwa mkali mno, umemuunguza Chris Lukosi na mawakala wenzake wa magamba, mpaka sasa wanaanza kubwabwaja!
 
HATA ccm wanakusanya kodi ila wanavyozitumia sasa ndio soo
zingine wanaficha uswiss,zingine mkuu wa kaya kila siku trip.
 
Sema utatumia uzoefu wako wa kubeba ndoo za vinyesi za mahabusu enzi zako zile za upolisi!

Utabeba sana wakati wenzio wanatajirika kwa kisingizio cha maskini wakichangie chama chao,kumbe Ufisadi tu.Mbona ikichangwa haigawanyi kwa uwiano wa majimbo na wilaya?ikikusanywa inatumika wapi?maana kila eneo wanakusanya,Amka ushabiki maandazi yanajifanya yanaogelea kumbe yanaungua.
 
Back
Top Bottom