Kwani mimi nina show room ya magari?Rudisha kwanza pesa za yule jamaa wa mwanza aliekuagiza gari au tuma hiyo gari ndio watanzania wakuamini
Ndoo ikishajaa fedha inakimbizwa kwenye gari la LEMA chap, then inaletwa ndoo nyingine iliyo empty!
Ndugu zanguni,
Baada ya kusikia jamaa zangu ambao ni wabunifu wazuri wa miradi ya kukusanya fedha kuwa wamekuja na singo mpya iitwayo PAMOJA DAIMA. Mimi kama Kamanda mstaafu, Kwa moyo mkunjufu nimeamua kujitolea kubeba ndoo ya michango wakati wa mikutano hasa ya Mbowe na Lema kama ishara ya kuwaunga mkono makamanda.
Ni mategemeo yangu kuwa uamuzi huu wa busara utaungwa mkono kwa nguvu zote na wengi na hata mbulumundu wetu wa hapa jamvini watanipongeza
SIO VYEMA KUWAACHIA VIONGOZI WA CHAMA KAZI HII NGUMU YA KUKUSANYA FWEDHA KWA MANDOO NA MABOKSI.
Ninawaahidi kutumia uzoefu wangu wa kubeba maboksi kwenye hii shughuli, hata ndoo ikijaa vipi nitanyopa tu, wengi mnaijua CV yangu kwenye fani ya maboksi.
JITAMBUE!
![]()
Hilo niliishamuachia Mchungaji bro.
Hebu nikuulize, ni kwa nini wabeba ndoo kwenye mikutano majina yao yanafanana?
MEKU, MOSHA, LEMA, MBOWE, SLAA....nk
Ndugu zanguni,
Baada ya kusikia jamaa zangu ambao ni wabunifu wazuri wa miradi ya kukusanya fedha kuwa wamekuja na singo mpya iitwayo PAMOJA DAIMA. Mimi kama Kamanda mstaafu, Kwa moyo mkunjufu nimeamua kujitolea kubeba ndoo ya michango wakati wa mikutano hasa ya Mbowe na Lema kama ishara ya kuwaunga mkono makamanda.
Ni mategemeo yangu kuwa uamuzi huu wa busara utaungwa mkono kwa nguvu zote na wengi na hata mbulumundu wetu wa hapa jamvini watanipongeza
SIO VYEMA KUWAACHIA VIONGOZI WA CHAMA KAZI HII NGUMU YA KUKUSANYA FWEDHA KWA MANDOO NA MABOKSI.
Ninawaahidi kutumia uzoefu wangu wa kubeba maboksi kwenye hii shughuli, hata ndoo ikijaa vipi nitanyopa tu, wengi mnaijua CV yangu kwenye fani ya maboksi.
JITAMBUE!
![]()
Nilikuwa siamini kama chris lukos uliiba hela ya rambi rambirambi ya mjane na yatima lakini kwa jinsi ulivyoposti hii topic hapa kaka laana ya mwangosi ipo juu yako inatembea na wewe angalia usijekuwa chizi.
Mkuu tunaiga ujasiriamali wa viongozi wa chadema tuNa mie nilikuwa siamini jambo hilo lakini baada ya kuona kaleta uzi huu basi naona kuna element fulani fulani ambazo zinaelekea kuniaminisha kuwa kweli ni choli wa rambirambi...shame to him!
Ndugu zanguni,
Baada ya kusikia jamaa zangu ambao ni wabunifu wazuri wa miradi ya kukusanya fedha kuwa wamekuja na singo mpya iitwayo PAMOJA DAIMA. Mimi kama Kamanda mstaafu, Kwa moyo mkunjufu nimeamua kujitolea kubeba ndoo ya michango wakati wa mikutano hasa ya Mbowe na Lema kama ishara ya kuwaunga mkono makamanda.
Ni mategemeo yangu kuwa uamuzi huu wa busara utaungwa mkono kwa nguvu zote na wengi na hata mbulumundu wetu wa hapa jamvini watanipongeza
SIO VYEMA KUWAACHIA VIONGOZI WA CHAMA KAZI HII NGUMU YA KUKUSANYA FWEDHA KWA MANDOO NA MABOKSI.
Ninawaahidi kutumia uzoefu wangu wa kubeba maboksi kwenye hii shughuli, hata ndoo ikijaa vipi nitanyopa tu, wengi mnaijua CV yangu kwenye fani ya maboksi.
JITAMBUE!
![]()
Lukosi ana hasira na Lema kwani inasemekana Lema alipoenda kule UK aliwahi kula kidosho chake na uhasama ukaanzia hapoAisee Chris Lukosi una bidii kweli ya kuwaponda hawa wapiganaji, hivi huwa unalipwa kwa kazi hiyo?
Teh teh teh, ndoo hiyo inabebwa na watu wawili tu Mbowe na Lema, hata Mohamedi Mtoi na Mwita Maranya ni marufuku kugusha ndoo achilia mbali kubeba.Ndugu zanguni,
Baada ya kusikia jamaa zangu ambao ni wabunifu wazuri wa miradi ya kukusanya fedha kuwa wamekuja na singo mpya iitwayo PAMOJA DAIMA. Mimi kama Kamanda mstaafu, Kwa moyo mkunjufu nimeamua kujitolea kubeba ndoo ya michango wakati wa mikutano hasa ya Mbowe na Lema kama ishara ya kuwaunga mkono makamanda.
Ni mategemeo yangu kuwa uamuzi huu wa busara utaungwa mkono kwa nguvu zote na wengi na hata mbulumundu wetu wa hapa jamvini watanipongeza
SIO VYEMA KUWAACHIA VIONGOZI WA CHAMA KAZI HII NGUMU YA KUKUSANYA FWEDHA KWA MANDOO NA MABOKSI.
Ninawaahidi kutumia uzoefu wangu wa kubeba maboksi kwenye hii shughuli, hata ndoo ikijaa vipi nitanyopa tu, wengi mnaijua CV yangu kwenye fani ya maboksi.
JITAMBUE!
![]()
Ndugu zanguni,
Baada ya kusikia jamaa zangu ambao ni wabunifu wazuri wa miradi ya kukusanya fedha kuwa wamekuja na singo mpya iitwayo PAMOJA DAIMA. Mimi kama Kamanda mstaafu, Kwa moyo mkunjufu nimeamua kujitolea kubeba ndoo ya michango wakati wa mikutano hasa ya Mbowe na Lema kama ishara ya kuwaunga mkono makamanda.
Ni mategemeo yangu kuwa uamuzi huu wa busara utaungwa mkono kwa nguvu zote na wengi na hata mbulumundu wetu wa hapa jamvini watanipongeza
SIO VYEMA KUWAACHIA VIONGOZI WA CHAMA KAZI HII NGUMU YA KUKUSANYA FWEDHA KWA MANDOO NA MABOKSI.
Ninawaahidi kutumia uzoefu wangu wa kubeba maboksi kwenye hii shughuli, hata ndoo ikijaa vipi nitanyopa tu, wengi mnaijua CV yangu kwenye fani ya maboksi.
JITAMBUE!
![]()
Mkuu ndoo inarembuliwa mcho, wee acha tu.Ndoo imebebwa kwa umakini na unyenyekevu wa hali ya juu. Kweli pesa ni sabuni ya roho.
Mkuu kujitolea sio unafiki.
Mimi nimeamua kuonyesha ishara ya msikamano hasa kwenye masuala magumu kama ya ubebaji ndoo nzito za michango.