Hivi kimsingi vurugu zote za mwanzoni zilikuwa za nini .... !?
teh teh aka ma testamKUU kuna KITU INAITWA Top Layer,kwa waliosoma Bodingi skul wanajua
mnafiki mkubwa ww ulishaona wp nuru na giza vikakaa pamoja? Ww ndiyo mchawi uwezi kuwa karibu na utukufu wa Mungu au kwenye maswala yanayo muhusu mungu wakati ww ni mpinga kristosamahani kwa kupita huku kwenye habari za washirikina. samahani mjadala huu nawaachia nyinyi wenyewe washirikina na mnisamehe kama ukweli utawaumiza.
samahani kwa kupita huku kwenye habari za washirikina. samahani mjadala huu nawaachia nyinyi wenyewe washirikina na mnisamehe kama ukweli utawaumiza.
Yote yawezekana kwa Imani. Ukiamini utapona, haihitajim kusimama na kushuhudia kama umepona kwani hata kupitia dawa za Hospitali na maombezi ya Kidini sio wote wanapona kwa wakati mmoja. Soma hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/131013-dawa-ya-babu-kweli-inatibu;wachunguzi-muhimbili.html uamini yanayosemwa.samahani kwa kupita huku kwenye habari za washirikina. samahani mjadala huu nawaachia nyinyi wenyewe washirikina na mnisamehe kama ukweli utawaumiza.
View attachment 32297View attachment 32311View attachment 32310View attachment 32309View attachment 32308View attachment 32306View attachment 32307View attachment 32304View attachment 32303View attachment 32302View attachment 32301View attachment 32300View attachment 32299View attachment 32298View attachment 32312View attachment 32307View attachment 32307View attachment 32297
Hali ya sasa kwa Babu ipo shwari ukifika inakuchukua muda mchache kupata kikombe kisha unageuza. Safari ya magari mengi kutoka Arusha Mjini ni usiku na kunako alfajiri upo kwa Babu..ukiweza unasikilza mawaidha yake kabla ya kujimiminia kikombe.
Msafara mrefu kwa sasa unasababishwa na wafuata huduma toka nchi za jirani hasa Kenya, Matatu toka Kericho, Nairobi Naivasha nk yanafika Samunge sasa. Fedha alizotoa Magufuri zimewezesha kukarabati barabara toka mto wa Mbu mpaka kwa babu japo vumbi ni jingi sana barabarani hasa kwa magari madogo kama saloon na Noah zinaweza kukwama kwenye vumbi.