NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Samahani Wakuu, pengine hapa si mahala pake, nimeamua kujiondoa facebook. Nimedelete account yangu kwa kufuata taratibu zote kama nilivyozisoma kwenye jukwaa hili.Nimeelekezwa kuwa account yangu itafutwa permanently baada ya siku 14.
SWALI, JE KILA POST NILIYOPOST NA KILA COMMENT NILIYOCOMMENT ITAFUTWA? NAULIZA HII KWA SABABU NIKIGOOGLE JINA LANGU OPTION ZINAZOKUJA NI MATOKEO YANGU YA SEKONDARI PAMOJA NA COMMENT ZANGU NILIZOCOMMENT KATIKA GROUPS MBALIMBALI, JE HIZI ZITAFUTWA NA ZISIONEKANE TENA?