Hiv na wewe wamekunasa kwenye mtego kirahisi hiv,au ndio walewale mnakuja kwenye sura zenuHaya ndio matunda ya Godbless J Lema.
Najua watakudharau nakuona huna faida yeyote lakini watasahau kuwa wamekuwa wakiamini muwa jf kuna wanachedema.
lakini time will tell.
cc Henry Kilewo.
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
Khaah.! Kuna watu mna mikwala ni balaaWewe huna akili soma sheria na kanuni za JF wacha kukurupuka, wewe ndio unastahili kupigwa ban kwa uzushi hapa JF.
Kwa taarifa yako IP adress yako unayotumia inajurikana na wenzako wanakuchora unavyojitekenya na kujichekesha.
Sasa muombe huyo Paw wako ruhusa nikutaje jina lako hapa na namba yako ya simu niiweke hapa.
Usijaribu kucheza na mimi hata dakika moja utahadhirika.
Nawe nakupa pongezi hizi hizi nilizompa mwingine aliyetoka kuzimu:
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
Vijana werevu wameshatambua hilo na wanajitoa mmoja baada ya mwingine.
Chama kinachojiita cha demokrasia hakiwezi kuficha hesabu za mapato na matumizi...
kama ukijiunga na chama cha siasa kwa maana ya kutafuta ajira! Hakika utakuwa wa kwanza kugusa hesabu za fedha na kutaka kujua jua wapi hela ipo ndani ya chama! Sasa kama kweli CAG na Msajili wa vyama wana power ya kutoa order, then walikuwa wapi kuwapa Offence Chadema I mean Hati ya Makosa kwa kushindwa kuwasilisha mahesabu! Funguka wewe, open Up ur mind, hizi ni propaganda! Fikiria nje ya boksi!
Kwenye revolution usitarajie utapata faida, kama ulitarajia kupata faida nenda kwa wauza sembe, kwenye revolution anayepata faida ni mnyonge ila huko uendako siyo. Haki haipatikani kwa kuimba majukwaani tu bali na vitendo pia. wewe endelea kutafuta maslahi siku ya mwisho utatumiwa kama chombo ili upate unachotaka.ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh