Nimejikuta tu nipo na muuza nguo za ndani kitandani

 
"K choosers is not a good fucker" hahahaha kaka mkubwa umeua kabisaaa,

Anyway kwa sisi ambao lazima tuzame chumvini hua tunachagua sana, lazima ipigwe maji kabla haijaanza kushughulikiwa.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 

Mabaharia ndio zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"K choosers is not a good fucker" hahahaha kaka mkubwa umeua kabisaaa,

Anyway kwa sisi ambao lazima tuzame chumvini hua tunachagua sana, lazima ipigwe maji kabla haijaanza kushughulikiwa.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Tafuta wimbo wa Bladkey unaitwa "Mvuvi" ndani kuna shairi: "Wanasema raha ya papa ni chumvi, nikipewa ni lazima sharti niilambe"


"رمضان كريم وصوم مقبول"
 
upo sahihi kabisa sasa huyo mtoa mada kama hicho kisa ni ukweli na si masihara basi kuna uwezekano mkubwa katembea na shetani,kitakacho mtokea siku za usoni ni kushiriki tendo la ndoa nyakati za usiku na watu wasiojulikana/asiowajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Proverbs 6:32-33

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.
 
Wewe hilo umelifanya Leo...mimi nililifanya 1993 nikiwa form 2 kwa muuza mboga

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
hahahahhahaha pompea tanzania imekushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona watu wamevaa suti nyeusi na kofia zao wanakuchungulia na kawimbo kanaoigwa tandata ndata tan tan
 
Mkuu haya Mambo ukiyaendea serious hufanikiwi,Kuna mmoja alikiwa anauza vyombo vya ndani,nikiwa kibandan kimoja napiga liquid mdogomdogo kafika nikamtania akaniambia Kaka nunua nikamwambia labda tupeleke kwa mama aone,akanifuata hajui kuwa ni bachelor kufika nikamkarimu vizuri nikampa soda mayai na matunda matani matani nilijikuta tupo hoi nahtaji arudi next time raaaaha mno
 
Angalau sasa wife nitamuhimiza kwenda dukani kwakuwa hizi za mtaani mnakuwa mmezitumia mpaka kitandani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…