Nimejikuta tu nipo na muuza nguo za ndani kitandani

Juzi nipo zangu home, nipo juu nikasikia huko Ground Floor kuna mtu anagonga mlango nikashuka ngazi fasta maana kuna ugeni nilikua nautegemea (kwa sisi masikini hatuna uwezo wa kuweka lift, ni mwendo wa ngazi tuu)

Kwenda kufungua mlango ni binti mdogomdogo anauza nguo za mitumba sana sana nguo za ndani za wanawake, nikamkaribisha ndani nikamwambia azimwage mezani nataka nimchagulie wifi yake pair 5 hivi.

Wakati kazimwaga pale mezani tunachagua kuna nguo ya ndani moja niliipenda lakini nikahisi kama ndogo kwa ninayemnunulia, akaniuliza "kwani unaemnunulia ni mnene sana?! " Nikamjibu hapana, ana umbo kama lako tuu, nikamtania aijaribishe nione ikikutosha nayeye itamtosha.

Nilifanya kama utani, lakini yeye akafanya kweli akaniambia nimuonyeshe chumba aingie abadilishe, nikamuonyesha.

Unajua sikuamini, nikaona nikachungulie kama kweli anabadilisha, duuh! Kiukweli sikuamini mtoto wa kike anavua yake anavaa ile, sikuelewa kilichotokea baada ya lisaa limoja nilijikuta nipo nae kitandani tunaongea.
Niagize chapati ngap mkuu
 
Kazurura huko weeeeh, kafika kwako sijui saa ngapi, mijasho, chupi hajabadili, alishakojoa au hata kugongwa na mkware kama wewe nusu saa iliyopita,
Na wewe unakuja hapo hapo unagonga,
,

Nawaza kwa sauti eeh don' mind me.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Kwa hiyo,kutembea kwake(huku anajitafutia rizki),mijasho hiyo,hana uwezo kama wako wa kumiliki Range Rover,na hayo mengine,yanamuvua ubinadamu?
Kikubwa tu ni kwamba wenye hali duni nao watu,na wanatamanisha kama wengine. Umesikia wapi kaomba kuku au Henessy?
Kupalangana kwao na mengine ndo vinawafanya wapendwe.Mama yako si amekutana na baba yako akiuza supu ya utumbo wa kuku na vichwa ma miguu? Leo hiyo unajiona uko mbali sanaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom