BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,623
- 3,011
Yani eti ni 1st year na kapewa Adv kwa ajili ya field. Hiyo shule labda haina walimu wenye sifa wakufundisha (yani 1st degree).Vinginevyo huyo mkuu wa shule ajitathini. Anaweza asinielewe Ila huo ndo ukweli.Kwahiyo we 1st year. Field yako ya Kwanza.
Hongera sana Mwalimu, na unafundisha Somo la bailogia nililo lipenda saanaLeo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.
Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.
Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"
Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
Hapana , I'm second year student, lakini hata mimi naweza jisifu nilitimiza majukumu zaidi ya zaidi.Kwahiyo we 1st year. Field yako ya Kwanza.
Hujui chochote mkuu, Mimi ni mwaka wa pili, pia content ya advance ni Ile Ile chuo tunafundishwa methodology na related issues kwenye professional.Yani eti ni 1st year na kapewa Adv kwa ajili ya field. Hiyo shule labda haina walimu wenye sifa wakufundisha (yani 1st degree).Vinginevyo huyo mkuu wa shule ajitathini. Anaweza asinielewe Ila huo ndo ukweli.
AMEN 🙌Asante sana kwa huduma yako, nyuma yako zitakufuata sauti za shukrani na matashi mema kwa Kila jema ulifanyalo.
Ndio MimiHivi wewe ndio ulinunuliwa Infinix na wanafunzi au sio wewe?
Unaonekana tu kingereza hukukipenda mkuuHongera sana Mwalimu, na unafundisha Somo la bailogia nililo lipenda saana
I wish ningekuwa na connection nikusaidie utimize haja ya moyo wako.
I trust Unafundisha Biologia na Chemistry?
Wewe ni ke au me?Leo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.
Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.
Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"
Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
MeWewe ni ke au me?
Mwanzo ulisema wewe ni 1st year (rejea bandiko lako).Hujui chochote mkuu, Mimi ni mwaka wa pili, pia content ya advance ni Ile Ile chuo tunafundishwa methodology na related issues kwenye professional.
Alafu eti akapewa Adv. Kumbe ndo maan watoto wetu wanaondoka Sec hawaelewi kituUnaonekana tu kingereza hukukipenda mkuu
Usirudi nyuma kijana! Mungu akutangulie katika safari yako hiyo ya wito!Leo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.
Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.
Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"
Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
Mtoa mada bado ana tabia za ki form 6 ngoja atakapoingia rasmi kazini atatuletea mrejesho maan wenzake wanalia kila sku humu. Amuulize MpwayunguBaada ya miaka 15 ijayo mtoa mada atakuja na mada ya kushukuru kwa kuajiriwa kwenye shule za serikali