Nimejikuta natoka machozi

Nimejikuta natoka machozi

Azimio la kazi

Senior Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
138
Reaction score
452
Leo ikiwa siku ya mwisho ya mafunzo kwa vitendo yaani field practice, imekuwa siku ngumu sana kwangu, hasa pale nilipokwenda kuwaaga wanafunzi wale wa kidato Cha sita niliokuwa na wafundisha somo la biology, hakika machozi yamewalenga na mimi nimejikuta nalia tu.

Majonzi yaliongezeka nilipo muaga mkuu wa shule na mkuu wa idara ya biology Hala shuleni hakika imekuwa ni huzuni tupu.

Mkuu wa shule kanitamkia neno moja akasema "asante kwa moyo wako wa upendo, asante kwa kujitoa kwa moyo, hakika moyo wako ni wa dhahabu"


Kwaheri Tabora ,
Kwaheri Tabora.
 
Back
Top Bottom