Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Status
Not open for further replies.
Vijana wengi hawapendi kufuata protakali za humu ndani. Kwanza kupenda sio kitu kibaya, lakini ili mtu apende basi anapaswa kupitia mambo kadhaa ili kukamilisha kile anacho kiamini

Yaani hi changamoto ndio inaleta matukio humu jf ..unakuta mtu anaona reply na avatar ya mtu anajua mwanamke mzuri matokeo yake anakuja mkoromije na sweta ya tanzania wanaanza onana wabaya
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom