Lady Unbreakable
Member
- Feb 20, 2013
- 33
- 5
habari zenu wanajamii, mimi nilikuja hapa kuhusiana na kazi za IT na nilipewa maoni mengi tu nashukuru sana, ila kitu nilichojifunza ni kwamba tusichague kazi jamani.chonde chonde graduates wenzangu. Mimi nilipata kazi sehemu kama receptionist kwa kipindi cha nwezi mmoja tu, mshahara ulikua mdogo tu ila nikasema nimesota sana bora nifanye hii kazi mengine yatakuja, namshukuru Mungu hiyo sehemu ikawa kama bahati wanahitaji mtu wa kufanya kazi za IT for HR office kwasababu nilikua pale was very easy to take me. Nashukuru Mungu napanda taratibu na siku moja mambo yatakua mazuri sana tu.
Soma kubwa ni tusichague kazi, fanya kazi kijana haijalishi mkoa wala wilaya ukikaa kusubiri nuru ishuke utasubiri sana.
good day
Soma kubwa ni tusichague kazi, fanya kazi kijana haijalishi mkoa wala wilaya ukikaa kusubiri nuru ishuke utasubiri sana.
good day