Eeh bora mtuheshimu tu ili mbarikiwe
Sasa Kama Mungu ulisema ndo mlete dharau eti kwa kuwa ni wajibu? Na mbona wanaume siku hizi mnataka kusaidiwa majukumu mkidai maisha siku hizi ni magumu?
aah wapi ndio kwanza zaongezekaTeh hongera ngoja tuone kama thread zitabadilika sasa
Kaka umepotea sikuoniaah wapi ndio kwanza zaongezeka
Naona umefukua kaburiaah wapi ndio kwanza zaongezeka
Ndio mkuuNaona umefukua kaburi
Dada mi nipo mbona..nilipause siku moja kidogoKaka umepotea sikuoni
SanaKuangalia mwanamke anazaa yahitaji ujasiri
Semegi nakusabahi.Mimi nawaheshimu kila siku, nawaheshim watu wote bila kubagua jinsia
Moyo wangu unaamani.Mtuheshimu mnooo, tena narudia mnapaswa kutuheshimu mnooo.
[emoji8] [emoji1] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji120] [emoji120]Semegi nakusabahi.
Kaka shemeji nipo hapa getini nagonga hakuna anaefungua.Moyo wangu unaamani.
Baada ya kukuona dada shemeji.
Karibu pasaka
Ingia tuu ndani....Kaka shemeji nipo hapa getini nagonga hakuna anaefungua.