- Thread starter
- #21
Hongera kwa kupata mtoto
Asante mkuu
Hongera kwa kupata mtoto
Nilikuwa nawadharau sana wanawake niliwaona kama viumbe dhaifu wasio na akili na hii ilitokana na mazingira niliyokulia ambapo mwanamke anadharaulika na kubezwa.
Wiki iliyopita nilimpeleka mke wa kujifungua kwenye hospitali ya private ambapo hospitali hiyo ina utaratibu wa kumzalisha mwanamke mmewe wake akiwa pembeni anaangalia aisee kuzaa ni shughuli asikwambie mtu nilitoka labour nduki mpaka sasa nikifikria kitendo kile nimeanza kuwaheshimu wanawake kama hospitali zote zingelikuwa na utaratibu ule hakika wanaume tungewaheshimu wake zetu, mama zetu na wanawake wote kwa ujumla acha mama aitwe mama.
Mungu alisema Mwanamke atazaa kwa uchungu na Mwanaume atakula kwa jasho, hivyo hiyo ni nature Mungu aliyoiweka. Lazima iwe hivyo.
Hongera kwa kujitambua ila ni wajibu wao
Duu ww ulosema kuzaa n kaama kunyaa Mungu atakulipaa,
Mungu alisema Mwanamke atazaa kwa uchungu na Mwanaume atakula kwa jasho, hivyo hiyo ni nature Mungu aliyoiweka. Lazima iwe hivyo.
Umejifunza kuheshimu wanawake baada ya kushuhudia wako akizaa au ulimuhurumia sababu ule uchungu? Wanawake nadhani unawasikia. Tupa mbali kabisa
Nani kama mama?
AKIJIHESHIMU NITAMHESHIMU sio azae kwa taabu eti ndo iwe sababu ya kumheshim no. Kwao kuzaa kwa shida ni agizo la Mungu ndo maana akitoka huko kesho anatanua tena mipaja.Mura inabidi tuwaheshimu hawa wanawake.
KWELI KUNA MME NA WA KIUME, HUO MUDA WA KUJIFUNZA HILO UNAUTOA WAPI? Mi nadhani mfumo dume umenikomboa kama sio kuniathiri.Nilikuwa nawadharau sana wanawake niliwaona kama viumbe dhaifu wasio na akili na hii ilitokana na mazingira niliyokulia ambapo mwanamke anadharaulika na kubezwa.