Nimejichanganya kwa mpenzi muongo balaa!

Nipo na mwanamke karibia mwaka sasa lakini nimegundua mwanamke nilienae ni muongo balaa sijapata kuona anajifanya ana dili kubwakubwa lakini kwa ujuzi wangu wa kuelewa mambo nagundua ni msanii sana kila siku anasema nina gari za mizigo lakini huzioni atakwambia nina nyumba lakini siku zote yupo chumba kimoja.

Yaani story zake ni kama mwanamke mwenye uwezo sanaa na hana hofu na hilo akiwa anasema lakini ukweli ni muongo sanaa kuna kipindi aliniambia ana maduka ya hardware lakini ukimwambia hata siku moja twende dukani atakuzungusha mpaka uchoke.

Sometime ananipa mazawadi kama nguo viatu ila najiuliza anapataje pesa na ofisi sizioni au tunammega wengi maana kila mtu anaishi kwake.
Kuna watu huwa hawajikubali walivyo mchukulie poa tyu
 
Endelea kummega, Mko wengi, mengine hayakuhusu
 
Mwanamke anayejikweza ndio poa unakopa tu
 
Nishawah kuwa na mdada alikua na fiksi mungu anaona aisee naamin yule ndio alinipa kibur cha kuacha kuwa na moyo qa kupenda penda...
Maana alishawah kuniambia kabakwa halafu aliembaka bado akawa anaish nae hakuna case wala nn nkasema hapa kiboko
Ila nashukur aisee amenifundsha usugu sana kias kwamba sa hv mtu hanipig sound kizembe zembe
Haaaaah polee
 
Back
Top Bottom