Nimejichanganya kwa mpenzi muongo balaa!

Nimejichanganya kwa mpenzi muongo balaa!

Usinipelembe umeninyima bado na bembeleza naona wengine hawaombia. Wanapewa sikulaum lakini
hahahha manga ujue unanichekesha hapo tulikua tunazungumzia habari za pm tu kuwa amefika mpk mlangoni kumefungwa sasa ww umeenda mbaliii watu tunaongea kwa codes tu
 
hongera kwa kupewa mazawadi na wanaume wenzio kupitia mwanamke
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenu wapi manga usilale bana
Nna usingizi kesho ntakesha tuwe wote umesikia mrembo

Nikijibu kwetu hapa haifai wazee wa ku unganisha dot wamo humu
 
Back
Top Bottom