Nimejiajiri kupitia hii fursa

Ndugu zangu wa JF kwa muda mrefu nilikuwa nikitafuta fursa sahihi ya kunitoa kimaisha lakini bila mafanikio.Nimejaribu biashara kadhaa lakini changamoto ni nyingi kutokana na ukweli kwamba sina muda wa kuzisimamia na pia wakati mwingine changamoto toka kwa ma competitors wa biashara nnayofanya.Hivi karibuni nimefanikiwa kutambulishwa fursa ambayo inanipa financial freedom.Ninaposema financial freedom ninamaanisha ni financial freedom kweli kweli.Fursa hii hainihitaji niajiri mtu kuisimamia wala hainihitaji nitoe muda wangu mwingi katika kuifanya.Ni fursa ninayoweza kusema ni simple ,smart and clear.Fursa hii ni ngeni hapa nchini kwetu imesambaa sana katika nchi za ulaya na america,kwa Africa Nigeria na Kenya ndio nchi ambazo zimeichangamkia sana fursa hii.Tanzania watu wengi hawajaifahamu bado,ila naamini kwa yeyote ambaye atabahatika kuisikia hawezi kuiacha.

Fursa hii inahusika na uwekezaji.Kampuni ya kiingereza inayoitwa Bitco International ndio inayotoa fursa hii ya uwekezaji.Mwekezaji atakayewekeza katika kampuni ya Bitco International atapata 3% ya kiasi alichowekeza kama return ya investment kila siku kwa muda wa siku 50.Kampuni inakua kwa kasi siku hadi siku ,na kwa sasa imefikia hatua ya kufungua Charity program katika nchi za Nigeria na kenya.

kuna baadhi ya watu niliokutana nao wengi wao wamekuwa wakiifananisha na Deci,au Network Marketing..Lakini ni waambie tu ukweli hii ni zaidi ya Deci au network Marketing.Kumbuka investment hii inahusisha coin inayoitwa Bitcoin.Coin ambayo ni maarufu nchi za ulaya ,america na Asia.kwa wenzetu ulaya Bitcoin inatumika kwenye transaction kama currency za kawaida.so kampuni inapopokea coin ulizonunua inaenda kuzi trade then faida ipatikanayo inagawanywa.Pia kampuni ina uwekezaji wake mwingine mwingi tu ,mojawapo maarufu ni kampuni ya michezo ya bahati nasibu .

uwekezaji huu unafaida kubwa sana coz wana option ya auti compounding,ambapo faida iliyopatikana na mtaji wako vinaweza kujumlishwa na kuinvestiwa tena na ile asilimia tatu ikakatwa kwenye jumla.Kima cha chini cha kujiunga ni Tsh. 30,000/-..kima cha juu hakina limit.

kwa mtu ambaye ataweka laki tano au 1m kwa muda wa miaka 2 ,sijui kama atafikiria kuajiriwa,hii itakuwa ndio biashara yake for life.Mimi ninaona matunda yake ndio maana na witness hii kitu.

Kwa yeyote anayetaka kujiunga au maelezo ya kina kuhusu hii fursa awasiliane nami kwa namba hii 0712 799747.

Please ,mawasiliano yawe either call, sms au whatsapp kwa sababu ya urahisi wa ku respond.Kwa mtu ambaye atataka kujibiwa hapa itabidi awe mvumilivu coz naweza chelewa kumjibu kwa sababu huwa siingii mara kwa mara
Naomba leseni yenu ya biashara kwanza ili tujiaminishe kuwa nyie sio sawa na DECI
 
Lucas nitakutafuta mkuu..........nilishaaamua kwamba tangu 2015 kudeal biashara zenye high risks kama hizi tu!......maana ndizo ambazo hela yangu ninarudi na faida napata.......tatizo kwa miaka zaidi ya kumi biashara nyingi nilizozifanya ambazo hazina risk kabisa,ninaambulia hasara na stori mingi hasa zile ambazo siwezi kusimamia moja kwa moja.... ....waswahili huwa sababu haziishi kila siku kuanzia Januari mpaka Desemba kuna sababu ya biashara kutokwenda vizuri mfano mara sikukuu xmas nk ,mwanzo wa mwaka,mfungo eid,maulid etc ,mvua ,magufuli kabana,vifo vya ndugu jamaa ,kuugua,shule zimefungwa nk nk nk....zikanichosha ....sasa nimeamua kupiga hizi zinazoogopwa na wengi(nikishajiridhisha ofcourse).......at least sasa nakula matunda maana ninamiliki lodge tatu na kirikuu mbili mpaka sasa..na ada za watoto hazinisumbui kabisa sasa......nasubiri wanitapeli(kama ikitokea) wakati nimeshasogea ....maisha ndivyo yalivyo..tunatofautiana humu wengine watabaki kuwa wasimuliaji , waangaliaji, washaangaaji , wakandiaji,wapingaji,wazee wa fursa nk nk...tatizo kubwa hasa ni wale wasomi......nitakutafuta tupige hela ,,....in any case mkuu,nitakucheki.....I dont care ,as long as i get my cash..honestly ,sisi wenye uthubutu wa style hii, hizo stori za hali ngumu sijui JPM kabana ,huwa tunacheeeka kwelikweli....
 
Shirikisha ndugu zako kwanza au tayari wote wako vizuri?
 
Karibu sana ndugu yangu,unajua mara nyingi unapotangaza fursa kama hizi kukosolewa hakuepukiki ..of course hata mimi mwenyewe nilivyotangaziwa nilikuwa mgumu sana kuamini mpaka nilipojiridhisha kwa wale wanaofanya hii biashara.Unajua watu wengi wanaopiga hela mjini na hata ma entreprenuer wakubwa ni wale wanao take risk.Kuna tajiri mmoja (jina kapuni) alivyosikia hii fursa ame invest mil 300...sasa jaribu kumfikiria baada ya siku 50 atakuwa na shillingi ngapi.Unajua wakat mwingine lazima tujiulize mbona almost karibia wazungu wengi maisha yao ni laini.Ukija kuchunguza investment zao ni hizi hizi tunanzo zidharau
 
Ndugu zangu wa JF kwa muda mrefu nilikuwa nikitafuta fursa sahihi ya kunitoa kimaisha lakini bila mafanikio.Nimejaribu biashara kadhaa lakini changamoto ni nyingi kutokana na ukweli kwamba sina muda wa kuzisimamia na pia wakati mwingine changamoto toka kwa ma competitors wa biashara nnayofanya.Hivi karibuni nimefanikiwa kutambulishwa fursa ambayo inanipa financial freedom.Ninaposema financial freedom ninamaanisha ni financial freedom kweli kweli.Fursa hii hainihitaji niajiri mtu kuisimamia wala hainihitaji nitoe muda wangu mwingi katika kuifanya.Ni fursa ninayoweza kusema ni simple ,smart and clear.Fursa hii ni ngeni hapa nchini kwetu imesambaa sana katika nchi za ulaya na america,kwa Africa Nigeria na Kenya ndio nchi ambazo zimeichangamkia sana fursa hii.Tanzania watu wengi hawajaifahamu bado,ila naamini kwa yeyote ambaye atabahatika kuisikia hawezi kuiacha.

Fursa hii inahusika na uwekezaji.Kampuni ya kiingereza inayoitwa Bitco International ndio inayotoa fursa hii ya uwekezaji.Mwekezaji atakayewekeza katika kampuni ya Bitco International atapata 3% ya kiasi alichowekeza kama return ya investment kila siku kwa muda wa siku 50.Kampuni inakua kwa kasi siku hadi siku ,na kwa sasa imefikia hatua ya kufungua Charity program katika nchi za Nigeria na kenya.

kuna baadhi ya watu niliokutana nao wengi wao wamekuwa wakiifananisha na Deci,au Network Marketing..Lakini ni waambie tu ukweli hii ni zaidi ya Deci au network Marketing.Kumbuka investment hii inahusisha coin inayoitwa Bitcoin.Coin ambayo ni maarufu nchi za ulaya ,america na Asia.kwa wenzetu ulaya Bitcoin inatumika kwenye transaction kama currency za kawaida.so kampuni inapopokea coin ulizonunua inaenda kuzi trade then faida ipatikanayo inagawanywa.Pia kampuni ina uwekezaji wake mwingine mwingi tu ,mojawapo maarufu ni kampuni ya michezo ya bahati nasibu .

uwekezaji huu unafaida kubwa sana coz wana option ya auti compounding,ambapo faida iliyopatikana na mtaji wako vinaweza kujumlishwa na kuinvestiwa tena na ile asilimia tatu ikakatwa kwenye jumla.Kima cha chini cha kujiunga ni Tsh. 30,000/-..kima cha juu hakina limit.

kwa mtu ambaye ataweka laki tano au 1m kwa muda wa miaka 2 ,sijui kama atafikiria kuajiriwa,hii itakuwa ndio biashara yake for life.Mimi ninaona matunda yake ndio maana na witness hii kitu.

Kwa yeyote anayetaka kujiunga au maelezo ya kina kuhusu hii fursa awasiliane nami kwa namba hii 0712 799747.

Please ,mawasiliano yawe either call, sms au whatsapp kwa sababu ya urahisi wa ku respond.Kwa mtu ambaye atataka kujibiwa hapa itabidi awe mvumilivu coz naweza chelewa kumjibu kwa sababu huwa siingii mara kwa mara

HII NDIYO MPYA NA TAMU BALAA!
Wengi wetu tunaifahamu fulsa ya BITCOIN ila mimi leo nawaambia MSIWEKEZE KWENYE SARAFU YA BITCOIN PEKEE YAKE UTACHELEWA KUPATA MAFANIKIO
Mwanzilishi wa Bitcoins Satoshi Nakamoto mwaka 2009 aliwafumbua macho watu wote duniani kwa kuanzisha Sarafu ya Bitcoin!!

Teknolojia ya Bitcoins imeendelea kutumika sana kutengeneza Sarafu nyingine zaidi duniani zenye mfumo wa Bitcoins protocol!!

Sarafu ya Bitcoin sasa hivi iko juu sana kwa bei! Hali hii inawakatisha tamaa wawekezaji wenye mitaji kidogo kukosa utajiri mkubwa sana uliopo kwenye Sarafu za kidigitali zipatazo 600 sasa hivi duniani kote!!

Naomba nitambulishe kwako Sarafu mpya iitwayo Adscash ambayo ni salama kabisa kuwekeza kwenye Sarafu hiyo mapema kabla ya UZINDUZI wa Sarafu hiyo mwezi April, 2017.

Hii ni Sarafu itakuwa inatumika kwenye matangazo ya kimataifa kama ilivyo Facebook, Twitter YouTube Instagram WhatsApp Bitcoinadspay, nk.

Faida itakayokuwa inapatikana kwenye international business advertisements ndizo watakuwa wanapata gawio lake wanachama wa kampuni hii!!

Adscash ikishazinduliwa itakuwa sokoni na coin zake zitakuwa zinakufikia wewe mwekezaji kwa kutumia mfumo wa blockchain ya Sarafu ya Ethereum!!

Wanachama wa kampuni hii watakuwa na Uhuru (flexibility) wa kubadili hizo coin kwenye Dollars au Bitcoins wakati wa kufanya Deposit au Withdrawal of their money!!

Kampuni hii itazinduliwa rasmi tarehe 5/04/2017 duniani kote!!

Hadi sasa hivi zaidi ya watu 400,000 wamejiunga tangu usajili rasmi uanze February mwanzoni!

Ukijiunga unapewa Adscash coins 100 za Bure ikiwa ni coin za promotion kabla ya UZINDUZI wa Sarafu hii ya Adscash!

Kumbuka kuwa Adscash Ni Sarafu mpya hivyo bado ina bei ya chini kwa sasa hivi!! Hivyo unaweza Kupata coin nyingi sana kwa bei ndogo!!

Adscash coins zinatarajia kupanda sana hadi kufikia $10 hadi 25 miezi michache baada ya kuwekwa sokoni (public coin).

Hivyo ukiwa na coin 100 utakazozipata Bure kabisa sasa hivi kwa kujiunga tu, huna tofauti na mtu aliyeweka Dolla 1000 benki sawa na Tshs 2,300,000 kwa miezi mitatu hadi 12 ijayo baada ya kuwepo sokoni!

Kwa sababu wengi wenu hapa ni waelewa basi fanyeni utafiti kupitia google nk.
ukipenda kujiunga na kulamba coin 100 za bure hebu bofya hapa.
https://ads.cash/prelaunch/1.html?id=edition&link=1
 
Kwa wale mnaonipigia simu halafu hazipokelewi,naomba radhi kwa usumbufu kwa sababu nakuwa bize sana kuwaelekeza watu.So kwa yeyote atakayepiga na akaona haipokelewi ,anitumie text nitamjibu.

poleni kwa usumbufu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom