DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 323
- 1,625
..
Dhubutu ndungu anza ukisha anza utaona kila kitu ni rahisi.DRILL = GRILL
Kazi nzuri kaka, hongera kwa kuhamia kwako.uu uzi utakuwa msaada sana kwa wengine.
Mimi nina hiyo hela yako mara 4 lakini sijui nianzie wapi
Asante brooo
18,500sh ni bei ya bati la geji 30 kwa Singida lakini.Hongera sana mkuu, hilo bati la gauge 32 hapo.....!! Anyway Ujenzi hauishi