Nimejaribu nimeshindwa

Kuacha kumtegea viwembe mke wangu kwenye suruali ili anapofua vimkate nimeshindwa.
 
Kuamini kwamba kuna kitu kinaitwa mungu......NIMEJARIBU, NIMESHINDWA
 
Kuacha kuendelezea itikadi, ndoto na misimamo ya King Julian... Nimejaribu Nimeshindwa
 
Kupiga deki kwa ulimi..nimejaribu nmeshindwa
 
Kumtongoza mwanamke Kicheche bila mafanikio ya kumpata Nimejaribu nimeshindwa.
 
Kukufumania na dem wangu nikaacha kula jicho lako nimejaribu nimeshundwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…