Nimejaribu nimeshindwa, msaada

Nimejaribu nimeshindwa, msaada

Nakushauri kuachana na mazingira yooote yanayo7bisha kupata opportunity ya kupiga puchu lkn pia fahamu kuwa unajimaliza kwa kiasi kikubwa saana maana utashindwa kumfikisha mkeo hapo baadae kwa kukosa afya nzuri

nimekupata mkuu!
 
Maamuzi yote ya kufanya au kutofanya punyeto huanzia katika kichwa. Tuliza kichwa chako, tumia muda mwingi kutafakari madhara ya matendo yako, mazingira (vijiweni), n.k . Pumguza kupiga kidogo kidogo, kumbuka kanuni za imani ya dini yako (kama una dini), jitahidi usitumie muda mwingi kuwaangalia wasichana maeneo ya viunoni, fanya mazoezi, epuka maeneo ya upweke kwa muda mrefu, n.k....
 
Nyeto sio mbaya, jaribu kupunguza isiwe kilasiku. Mwezi wa sita(6) kutakuwa na uchaguzi wa viongozi wapya wa chama chetu CHAWAPUTA, sifa za kutosha kugombea uongozi unazo, karibu sana.
 
Nkiki???

Ni udomo zege au?

Ni pepo au?

Nkiki?


Anyway, CHANGE NI WEWE! #amua
 
Pole sana kaka kwa jambo hilo. Nakushauri uwe na kampani ya vijana wenzako, soma sana Bible pamoja na vitabu vingine vya stories. Pia amini kwamba unaweza kuacha kabisa, kama hujaamini unaweza kuacha-hutoacha. Kuna watu wanahangaika kutafuta hizo nguvu za kutafuta watoto but hawazipati hata kwa waganga wa jadi wameenda lakini wapi. AMUA MWENYEWE NA IKIWEZEKANA FUNGA HATA WIKI NZIMA UKIOMBA NA KULIA KWA AJILI YA SUALA HILO. WEWE NI KILE UNACHOKIWAZA NA KUKITENDA.
 
Pole sana kaka kwa jambo hilo. Nakushauri uwe na kampani ya vijana wenzako, soma sana Bible pamoja na vitabu vingine vya stories. Pia amini kwamba unaweza kuacha kabisa, kama hujaamini unaweza kuacha-hutoacha. Kuna watu wanahangaika kutafuta hizo nguvu za kutafuta watoto but hawazipati hata kwa waganga wa jadi wameenda lakini wapi. AMUA MWENYEWE NA IKIWEZEKANA FUNGA HATA WIKI NZIMA UKIOMBA NA KULIA KWA AJILI YA SUALA HILO. WEWE NI KILE UNACHOKIWAZA NA KUKITENDA.

Jiepushe na maongezi, filamu, makala, zinazozungumzia mambo ya mapenzi na ngono! Jiepushe na kona ambazo watu wa style hizo wanapita hata kama itabidi kubadili ratiba. Jikite na Mungu wako Sana na shule yako na mambo mengine ya maendeleo.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Jamani sio utani hili tatizo nilianza kama miaka minne mpaka sasa bado ninalo nimejaribu ila nimeshindwa kuacha mpaka sasa ...mpaka nimefika mwaka wa tatu chuo ....yaani ninapiga puchu mpaka nachanganyikiwa ...kila ni kimuona demu mkali paja nje namuhifadhi yaani mpaka niMMALIZE BAADAE ....kwa sasa imefikia nikimuona demu kavaa vibaya nipo radhi nichelewe kipindi ili nikajimalize ...kwa siku naenda hata mara tano ...nimejaribu kuacha kwa kutafuta Malaya wa dar lakini naona hawaNIFIKISHI SIPATI LADHA KAMA ILE NINAYOJIBANA ....chumbani ninapokaa na wenzangu hawajui chochote kuhusu hili mpaka sasa huenda nimepita kindoto na maduu 30000ikiwemo mastaa wote unaowafahamu hapa bongo! NATAMANI KUACHA Lakini nashindwa na KUNASIKU NILIJIAPIZA KUACHA NIKAJIzuia kwa siku moja ..siku iliyofuata niLIJILIPUA VIBAYA mpaka misuli ya makalio ikawa inauma ! NAOMBA MSAADA WA DHATI TAFADHALI!
Ua totally INSANE
 
Pole kaka.. Kwanza uikatae kwa dhati hali hiyo toka moyon mwako, pia punguza kidogo kidogo kama kwa sku ilkuwa mara 5. Jtahd hata itoke 3 au mbili, kadri muda unavyozid utajkuta hali hiyo inatoweka kabsa.. Ukidhamiria unaweza kuondokewa na hyo majanga...
 
ila mwana mie naona bora ningepata ugonja wa nyeto kuliko huu wa papuchi...maana mwana unaepuka mengi sana.
 
kuna mwingine humu alisema kapiga puchu uwanja wa taifa,eti mpira unaendelea akapita dame mkali ikabidi akapige puchu huku game inaendelea

Duh! iyo kali aiseeeeeeeeeeee
 
Lack of potential girlfwnd, lack of seducing & thinkin that Masterbating is the best solution plus Mobb circulation ..u nid 2 change yung fella...
 
Kaka tafuta msaada wa kiroho, You re possed and you need deliverance. Japo kuna role ya kwako ya kuplay, ila unahitaji kufanya maombi/kufanyiwa ili kuvunja hizo spiritual strongholds.

Hongera pia kwa kugundua ni tatizo, Ni maombi yangu ukapate uponyaji.

hilo nalo neno.....
 
Jamani sio utani hili tatizo nilianza kama miaka minne mpaka sasa bado ninalo nimejaribu ila nimeshindwa kuacha mpaka sasa ...mpaka nimefika mwaka wa tatu chuo ....yaani ninapiga puchu mpaka nachanganyikiwa ...kila ni kimuona demu mkali paja nje namuhifadhi yaani mpaka niMMALIZE BAADAE ....kwa sasa imefikia nikimuona demu kavaa vibaya nipo radhi nichelewe kipindi ili nikajimalize ...kwa siku naenda hata mara tano ...nimejaribu kuacha kwa kutafuta Malaya wa dar lakini naona hawaNIFIKISHI SIPATI LADHA KAMA ILE NINAYOJIBANA ....chumbani ninapokaa na wenzangu hawajui chochote kuhusu hili mpaka sasa huenda nimepita kindoto na maduu 30000
ikiwemo mastaa wote unaowafahamu hapa bongo! NATAMANI KUACHA Lakini nashindwa na KUNASIKU NILIJIAPIZA KUACHA NIKAJIzuia kwa siku moja ..siku iliyofuata niLIJILIPUA VIBAYA mpaka misuli ya makalio ikawa inauma ! NAOMBA MSAADA WA DHATI TAFADHALI!

Daaah umesimulia kiutani lakini ukweli ni kwamba hili ni tatizo mkuu, jitahidi sana kuwa busy na mambo yako ya chuo na kuwaona kama hao wanawake ni watu wakawaida sana tu au hata washkaji, itakusaidia kias fulani.
remember that too much of anything is harmfull, so hizo maratano kwasiku zitakuja kukukost sikuzujazo mkuu
 
Jitahidi kupata mpenzi wa moyo wako mmoja wa kudumu ambaye ukimuona tu wahisi dunia yako na sio madada poa au mtu wa kufanya nae sex am sure she wil change dat habit of urs completely.
 
Back
Top Bottom