Nimejaribu lakini nimeshindwa

Nimejaribu lakini nimeshindwa

dicrayh

Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
5
Reaction score
0
Akaunti yng ya Facebook imekuwa Disabled. Ina maana siwezi kufungua mpaka nifuate maelekezo yao ya Security Identification. Nikifika sehemu ya kutambua picha na jina lake huyo mtu, nashindwa kwasababu marafiki wengi siwakumbuki. Ni wale uki-Post kitu kizuri, wana - request.

Nisaidieni nifanyeje?
 
Open new one acha kusumbuka bure it is not bank account kwamba hera zitapoterea huko
 
Back
Top Bottom