Ukafanye nini na hauna leseni mkuu? Hela ya nauli njoo kwa kibanda changu ulie chipsi yaiHabari zenu ndugu zanguni, natumaini nyote ni wazima wa afya.
Nmeitwa kwenye usaili wa ajira ya Serikalini na katika vigezo vile vya mwanzo wa tangazo waliandika uwe na leseni lakini mimi sina.
Je, hapo mnanishaurije? Niende kwenye huo usaili ama?
Habari zenu ndugu zanguni, natumaini nyote ni wazima wa afya.
Nmeitwa kwenye usaili wa ajira ya Serikalini na katika vigezo vile vya mwanzo wa tangazo waliandika uwe na leseni lakini mimi sina.
Je, hapo mnanishaurije? Niende kwenye huo usaili ama?
Kila la heri fundi mwenzangu, haya mambo ya kuwa na leseni wanatuoneaPlant Operator (Anadili na mambo ya ki Umeme)
Ni kweli kabisa,vipi nawe wamekuita huko porini NgoroNgoro amaKila la heri fundi mwenzangu, haya mambo ya kuwa na leseni wanatuonea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa,vipi nawe wamekuita huko porini NgoroNgoro ama
Unadhani Wangapi wanajua by experience lakini hawana leseni pia???? Vyeti na leseni ni kupunguza tu idadi ya watu lakini kwa experience kuna watu mafundi aiseeenenda kama unaexperience na kazi hiyo leseni utapata kama wataona unawafaa wwatakupa kazi kwa shart la kwenda kutafuta leseni ukiwa nao....ila mbaya kama hujui chochote kuhusu kazi hiyo
Kama ni formal work hapo mwenye cheti anpitaa... Ataendelea kujifunza tuu!! Ilaa kama ni private mwenye experience anaweza chukuliwaa..siyo kila exdperience ina sifa ya kwenye career mfano.umesoma driving lakini hujapractise hata for a month lakini wapo walioendesha maguta ndani huko lakini leseni hana yupi the best kati yao kama utakaa kwenye interview panel?
Ukafanye nini na hauna leseni mkuu? Hela ya nauli njoo kwa kibanda changu ulie chipsi yai
CC Zero IQ
Fuata ushauri huu kijana.nenda kama unaexperience na kazi hiyo leseni utapata kama wataona unawafaa wwatakupa kazi kwa shart la kwenda kutafuta leseni ukiwa nao....ila mbaya kama hujui chochote kuhusu kazi hiyo
,kwenye tangazo la kuita interview wamesema kabisa watu wanaotakiwa leseni waende nazo sasa yeye hana anaenda kufanya nini!!Fuata ushauri huu kijana.
Kwenye usahili ukijieleza na wakikupenda watakuchukua tu hata Kama hauna leseni,leseni Ni kitu kidogo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app