Nimeitwa kwenye Interview TBC nafasi ya producer, nijiande na nini?

nenda mwayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

unabahati we kaka tbc hii hii

haya kaungane na wenzio mkatupikie makorokocho
 
Unaweza pewa practical ya ku-produce mikutano ya Malaika mkuu...Sasa nenda ukamtoe kivuli tupu kama walivyofanya juzi hilo jumba bovu utadondoshewa wewe
 
Habari wananzengo,nimeitwa kwenye interview TBC nafasi ya producer tumeambiwa tuende kufanya vitendo kwa maana ya practical.

Naomba msaada wa kunijuza katika hiyo nafasi nijiandae maeneo gani?
Vaa t shirt ya ccm kofia ya meko.

Umepata kazi
 
Ndugu mtoa mada, tafadhali naomba mrejesho wa hy kaz kama ulipata mana kuna kt ntaomba unisaidie kama umeipata, nashindwa kukufata PM mana umepazuia huko
 
Habari wananzengo,nimeitwa kwenye interview TBC nafasi ya producer tumeambiwa tuende kufanya vitendo kwa maana ya practical.

Naomba msaada wa kunijuza katika hiyo nafasi nijiandae maeneo gani?
1. Usisahau kwenda ukiwa umebeba kadi ya CCM
2. Uwe umezaliwa Kanda ya ziwa
3. Usisahau kuisikia serikali
4. Uwe tayari kutokutangaza mambo ya upinzani
 
Back
Top Bottom