Young murrah
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 415
- 459
- Thread starter
-
- #101
ungekuwa huna kazi mkuu usingeuliza mshahara kwanza.....anyway wish u all the best then
mkuu hata kwenye Interview wanauliza wakulipe shilingi ngapi so ni vizuri kupata take home ili nsijekujifunga na maneno yangu okey?
Ivi 250,000 utaishije dar?
acha kudanganya, kama haujui si bora ukae kimya!take home..tsh.245,000.
Sawa mkuu hilo swali ni technical sana unawajibu tuu simple according to your salary scale which is relevant to your experience mkuu...
wasikukatishe tamaa, wewe komaa kafanye interview na mtangulize Mungu kabla ya yote, watu wa humu ndani wengi wao wapo kwaajiri ya kukatisha tamaa mshahara wa crdb ni mzuri tu, omba Mungu ufanikiwe.
mkuu ndo nimetoka hatua ya kwanza ya Interview nasubir hatua ya pili kama ntapita ya kwanza
me npo crdb as bank officer... tke home kwa kuanza n.lak 7 na nusu then kla tr 1 unapewa hela ya fuel lak 1...... karb crdb.ULIPO TUPO
acha kumdanganya mwenzako
laki 7.5 uko affected na increment acha uongo!basic ni 6.29
yanii ni uongo mtakatifu.labda awe mtoto wa share holder
Fanya hiyo enterview acha mbwembwe! Ungekuwa upo curious sana hela usingejaza hiyo kazi ungetafuta hizo taarifa.
Usimchunguze demu wakati huwezi kumuacha. Piga kimya Mungu akutangulie anko.
Wale watu wao ambao wapo pale mie sijui niitaje maana Internship nachofahamu ni mwanafunzi wa chuo ambae atarudi chuo lakini wale pale kama wamewekwa tuu ili ikitokea ajira wawachukue wanakula kilo 5 sasa we mupya sijui utakula ngapi!!!??ila mfanyi kazi wa chini anaanzia kilo 7...
ALL DA BEST "CHAMPION"
laki 7.5 uko affected na increment acha uongo!basic ni 6.29